Kiukweli Airtel Ni TAKATAKA,Siku mbili sim banking Airtel haifanyi kazi,tatizo nini au ni kwangu tu au na kwa wengine
Nimezoea kununua umeme kwa huduma hii lakini nashangaa siku mbili haifanyi kazi
Kuna nini?
Upo sahihi kabisa. Yanatia hasira!Kiukweli Airtel Ni TAKATAKA,
Mtandao wao ni ovyoo aswaa
Hata kwangu huduma hiyo imeshindikana!!Siku mbili sim banking Airtel haifanyi kazi,tatizo nini au ni kwangu tu au na kwa wengine
Nimezoea kununua umeme kwa huduma hii lakini nashangaa siku mbili haifanyi kazi
Kuna nini?
Download GePG Tanzania ni nzuri sanaSiku mbili sim banking Airtel haifanyi kazi,tatizo nini au ni kwangu tu au na kwa wengine
Nimezoea kununua umeme kwa huduma hii lakini nashangaa siku mbili haifanyi kazi
Kuna nini?