Sim banking Airtel kuna tatizo gani?

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Siku mbili sim banking Airtel haifanyi kazi,tatizo nini au ni kwangu tu au na kwa wengine

Nimezoea kununua umeme kwa huduma hii lakini nashangaa siku mbili haifanyi kazi

Kuna nini?
 
Kiukweli Airtel Ni TAKATAKA,

Mtandao wao ni ovyoo aswaa
 
Kuna mtu kaniambia hawezi tuma SMS wala kupokea SMS Airtel sasa hivi.
 
Siku mbili sim banking Airtel haifanyi kazi,tatizo nini au ni kwangu tu au na kwa wengine

Nimezoea kununua umeme kwa huduma hii lakini nashangaa siku mbili haifanyi kazi

Kuna nini?
Hata kwangu huduma hiyo imeshindikana!!
 
Internet yao imekuwa ya kimagumashi kweli tangu saa 1 jioni imezingua sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom