Siloam Ministry International Mbezi Beach

Siloam Ministry International Mbezi Beach

kapuchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2008
Posts
268
Reaction score
164
wandugu nimepata taarifa kuwa ---- mambo mazito yanaendelea kuanzia jana hadi leo kanisani hapo mbezi Beach Makonde..Mwenye habari zaidi atujuze au kama kuna mtu anasali hapo atuambie tafadhali

Nabii wa kanisa hilo ELIYA ndo amefariki
attachment.php
 
Nimesikia kuna mtu amekufa toka jana asubuhi wanamwombea afufuke hadi saa hii...sasa sijui ameshafufuka ndo nilipenda nijue
 
wandugu nimepata taarifa kuwa ---- mambo mazito yanaendelea kuanzia jana hadi leo kanisani hapo mbezi Beach Makonde..Mwenye habari zaidi atujuze au kama kuna mtu anasali hapo atuambie tafadhali

Hebu jaribu kufafanua kidogo mambo gani hayo kapuchi?

Nimesikia kuna mtu amekufa toka jana asubuhi wanamwombea afufuke hadi saa hii...sasa sijui ameshafufuka ndo nilipenda nijue

Nabii wa kanisa hilo ELIYA ndo amefariki
attachment.php
 
Attachments

  • 1415871950552.jpg
    1415871950552.jpg
    45.2 KB · Views: 4,602
Ndo maana nilikuwa napiga cm kwa mtu 1 hiv...nae ni mtumishi hapo church tangu jana hapokei na sio kawaida yake!
 
Sasa kwani walishawahi ombea maiti kabla ya huyo....?
 
A u serious! !?

He! Asante kwa taarifa then fatilia vizur na utupe mrejesho..

wandugu nimepata taarifa kuwa ---- mambo mazito yanaendelea kuanzia jana hadi leo kanisani hapo mbezi Beach Makonde..Mwenye habari zaidi atujuze au kama kuna mtu anasali hapo atuambie tafadhali

Kwa mujibu wa taarifa nilizopata ni kuwa Aliumwa then wakaweka mda kumwombea. Taarifa ilikuja kuwa amepona na akaendelea na huduma zake kama kawaida.

Lakini juzi aliita wachungaji wote hadi wa mikoani kuzungumza nao/kuwa agaa. Baada ya hapo alipoenda kulala ndo ikawa mazima.
 
Ni kweli Nabii Eliya amefariki na nimepata taarifa hapa posta kuwa alipata wasaa wa kuwaaga waumini wake siku ya Jumapili yao ambayo huwa ni jumanne na pia alipata wasaa wa kuwaaga watumishi wake wote wa branches na watoto wake kuwa ATALALA( ATAKUFA)
 
Acheni uongo nyie kizazi cha shetani,

Tangu jana kuna maombi ya TOBA, hakuna aliyekufa

wenzio wakitoa taarifa bila ushahidi unawaita kizazi cha shetani, ila wewe kusema miraji na salama wanamiliki IPTL bila ushahidi ni halali? Ama kweli nyani haoni k......!

cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom