Ndugu kimbwe
Usilazimishe watu wakubaliane na hisia zako. Uislam una madhehebu. Na hilo linajulikana dunia nzima. Hiyo exclusiveness unayoionyesha ni dalili ya extremism katika imani. Na huo ni upotofu.
Tafadhari, wenye maswali juu ya yote yanayoendelea au kufanyika pale madhabahu kuu Siloam, mimi nawashauri muchukue hatua ya kwenda pale na kujionea wenyewe kwa macho yenu, pia kuuliza pale pale kwa usilolijua pale kuliko kujitafutia laana isiyo na sababu kwa maneno ya dharau juu kinachofanyika katika madhabahu ya MUNGU WA ELIYA. Maana imeandikwa, apandacho mtu ndicho atakacho vuna~ Galatia 6:7-8.
Ina maana jamiiforums nzima tuje siloam? mnawaza nini nyie? ndio maana mmeokotwa. Kama majibu tu hapa mnashindwa kuleta kuja kutasaidia nini? mnaonyesha udhaifu tu nina wasiwasi kikundi chenu ni cha kishetani au shetani ndiyo aliyemuongoza nabii mungu wenu. Haiwezekani watu wenye akili timamu mkashikwa kiasi icho na kuwa mambumbumbu. I am yet to find out. Bado nafanya research. Yesu atasimama tu. Munuo nadhani ni mfano hai wa Mpinga Kristu, wapo wengi na wanazidi kupotosha watu. Wataanguka tu.Kweli kabisa waende kanisani wakaulize maana umbea haulipi
Ina maana jamiiforums nzima tuje siloam? mnawaza nini nyie? ndio maana mmeokotwa. Kama majibu tu hapa mnashindwa kuleta kuja kutasaidia nini? mnaonyesha udhaifu tu nina wasiwasi kikundi chenu ni cha kishetani au shetani ndiyo aliyemuongoza nabii mungu wenu. Haiwezekani watu wenye akili timamu mkashikwa kiasi icho na kuwa mambumbumbu. I am yet to find out. Bado nafanya research. Yesu atasimama tu. Munuo nadhani ni mfano hai wa Mpinga Kristu, wapo wengi na wanazidi kupotosha watu. Wataanguka tu.
Ndugu kimbwe
Usilazimishe watu wakubaliane na hisia zako. Uislam una madhehebu. Na hilo linajulikana dunia nzima. Hiyo exclusiveness unayoionyesha ni dalili ya extremism katika imani. Na huo ni upotofu.
Unaonekana wewe ni mrumi tena wa kurithi laana ambayo itakutafuna kwa vile mpaka muda huu unaamini mapokeo ya kirumi bila kutafiti. Hiyo research yako tayari itakuwa subjective na majibu yake utayapika! Tatizo lako naona unataka majibu yasiyogusa miungu yako ulioirithi! Navkwa ulivyo ukiingia kwenye madhabahu na vinyago vyako vya dini ya kirumi havitakiruhusu! Kama hauamini nenda madhabahuni ndi utajua nani shaitwan na nani ni mkamilifu. Huo utafiti wako Usiute research bali uite jina lingine kwa vile haukidhi vigezo vya research
Acha kumtisha mwenzio. Laana gani karithi? mimi hapa mkatoliki kanisa aliloacha Yesu Kristu, kanisa la kitume. Kanisa pekee lilokusanya vitabu na kuita bibilia. Kanisa pekee lenye historia na tafsiri moja ya bibilia. Kanisa pekee ambalo unaweza kulitrace kutoka kwa Yesu na wanafunzi wake. Kanisa pekee lisilotafsiri neno kwa matakwa yake. Kanisa pekee ambapo Yesu anaabudiwa inavyostahili. Kanisa pekee ambapo, Yesu yupo. Kanisa lisilokosea mafundisho kwa kuwa Roho wa Mungu ni mwalimu wetu. Kanisa pekee lisiloanguka miaka 2000, kanisa pekee lenye Ekaristi Takatifu mwili na damu ya Yesu kama alivoagiza. Kanisa pekee la Ulimwengu mzima. Kanisa Pekee linalochukiwa na wasio na dini, waprotestanti, wasabato, waislamu, freemason na shetani kwa ujumla. Kanisa pekee lenye vyuo vikuu vingi duniani, kanisa pekee lenye Kutoa misaada kwa maskini kuliko taasisi yoyote duniani. Kanisa pekee la Kitume. Kanisa pekee lenye kweli yote. Kanisa pekee linalochukiwa na watu wasiolijua. Kanisa pekee linalopinga Ushoga milele na wazi. Kanisa pekee linalokataa abortion wazi wazi milele. Kanisa pekee lenye sheria zisizopingana na Mungu wala neno lake. Kanisa pekee la Roho Mtakatifu. Kanisa pekee lililobarikiwa na Mungu. Kanisa lilosheheni miujiza inayodhibitika, lakini haiitumii kama slogan za marketing. Kanisa linalosambaza injili kwa matendo.. siloam what? ndo mnavowatisha waumini wenu mara laana mara nini? kuaribu familia za watu , kugombanisha ndugu, umbumbumbu , kutajirisha viongozi wenu wachache. wajin.ga wakubwa nyie brainwashed na jiki. Hivi kweli mnaamini hicho kijikundi nyie ndo wenye kujua kuhusu neno la Mungu? think again. study the catholic faith and come again. ibada za masanamu, kuomba watakatifu nk...Niulize mimi nikueleze hapa hapa.Cowards. kazi kutia watu hofu.
Angalia ulivyo na kifuniko cha dini! Hivi wewe mtu akiwa na pepo na kuugua unatumia rosary yako kumtoa pepo? Nitajie kanisa lako mahali walimtoa mtu pepo na kumponya magonjwa kwa rosary( badala yake fr Mkwera mnamuona mchawi!)Tena ukae kimya usiongelee huo upuuzi wako wa kuabudu sanamu! Hivi wewe na akili yako unaamini Yesu alikuwa blonde?

Unaweza ukawa na dini ,kanisa au umeokoka lakini huna Yesu!!
Angalia ulivyo na kifuniko cha dini! Hivi wewe mtu akiwa na pepo na kuugua unatumia rosary yako kumtoa pepo? Nitajie kanisa lako mahali walimtoa mtu pepo na kumponya magonjwa kwa rosary( badala yake fr Mkwera mnamuona mchawi!)Tena ukae kimya usiongelee huo upuuzi wako wa kuabudu sanamu! Hivi wewe na akili yako unaamini Yesu alikuwa blonde?
Dini ni kitu cha lazima. Mwanadamu yeyote yule ana hulka ya kuabudu. Ni utaratibu wa kumuabudu Mungu. Kweli lazima ipatikane katika dini, ipi sasa na wapi ndio tutaona. Kutoa mapepo au exorcism. Kanisa limekua toka mwanzo likifanya na lina mamlaka hayo. Sisi siyo kila mtu anamapepo kama mnavotuaminisha. Sisi mpaka mtu awe na mapepo ni lazima tumpime akili tujiridhishe hana ugonjwa wowote unaoweza kuelezeka kuna criteria za mtu kuwa na mapepo. Demonic possession siyo rahisi wewe. Nyie wote mnafanya deliverance siyo exorcism kaka. Hujui. Kanisa letu hayo mambo linayajua kiundani sanaaa chukua link hii usome kwa ukarimu na taratibu.Interview with an Exorcist | Catholic Answers
Kuhusu Rosary takatifu. Kwanza inashauriwa kuisali mara kwa mara ili kujikinga na mapepo. Mapepo na wapinga kristo hawampendi Maria wala kumheshimu. Maria ni Eva mpya, alimkanyaga yule nyoka, akamzaa Yesu adamu mpya aliyekishinda kifo. Maria ana nafasi yake katika ukombozi wa wanadamu, mapepo wakisikia jina la Maria wanakimbia na Maria anawafanyia kazi.
Kuhusu sanamu, sisi hatuabudu sanamu! Tunaheshimu yule inayomwakilisha. Na ukisoma bibilia VIZURI, haikatazi kutengeneza sanamu, utaona kina Musa, Solomon nk wanatengeneza na miujiza inatokea kupitia sanamu hizo, tunachokatazwa ni kuzipa sanamu uhai na kuzifanya miungu kitu ambacho Katoliki hatufanyi. Ijueni imani katoliki kwanza kabla ya kudakia vitu ambavo toka miaka tulishavifafanua. Na kwa taarifa yako, mapepo ata picha za watakatifu au vitu vitakatifu zinawachoma. Nyie bado sana ni vijidhehebu vichanga , vijikundi vinavokuwa na maamuzi yao alafu wanajaribu kujaprove na bibilia. Alaaniwe Martin Luther, maana kila kukicha vijidhehebu vya ajabu ajabu kama hivi vinaongezeka tu kupoteza watu. Nyumba gani isiyo na umoja? Kuna Roho wa Mungu hapo? alafu wewe christine ibrahim ujielewi unadakiadakiaga tu vitu nani kakwambia utaenda mbinguni bila dini? nani kakudanganya? we endelea kufanya church shopping ila ukweli upo kanisa la Yesu aliloacha.ni lipi? akili kumkichwa.
Yesu kuwa blonde au kuwa mweusi itatokana na perception ya jamii husika. Picha hizi za Yesu na Maria tunazoziona sasa nyingi ni za 1800s ambapo wazungu ndio waliochora. Anyhow ata angezaliwa Mu Aborigin Australia, tungecomplain tu.
Kuoa au kut
Unaonekana wewe ni mrumi tena wa kurithi laana ambayo itakutafuna kwa vile mpaka muda huu unaamini mapokeo ya kirumi bila kutafiti. Hiyo research yako tayari itakuwa subjective na majibu yake utayapika! Tatizo lako naona unataka majibu yasiyogusa miungu yako ulioirithi! Navkwa ulivyo ukiingia kwenye madhabahu na vinyago vyako vya dini ya kirumi havitakiruhusu! Kama hauamini nenda madhabahuni ndi utajua nani shaitwan na nani ni mkamilifu. Huo utafiti wako Usiute research bali uite jina lingine kwa vile haukidhi vigezo vya research
Unaonekana wewe ni mrumi tena wa kurithi laana ambayo itakutafuna kwa vile mpaka muda huu unaamini mapokeo ya kirumi bila kutafiti. Hiyo research yako tayari itakuwa subjective na majibu yake utayapika! Tatizo lako naona unataka majibu yasiyogusa miungu yako ulioirithi! Navkwa ulivyo ukiingia kwenye madhabahu na vinyago vyako vya dini ya kirumi havitakiruhusu! Kama hauamini nenda madhabahuni ndi utajua nani shaitwan na nani ni mkamilifu. Huo utafiti wako Usiute research bali uite jina lingine kwa vile haukidhi vigezo vya research
Usicho kijua ni sawa na uck wa giza. Nimefatilia huu uzi nimegundua wote walio changia hawana lengo la kutaka kujua ukweli.
Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini...???