Siloam church

Mungu ni roho wanaomwabudu yawapasa kumwabudu katika roho!
 
Misimamo miovu ipi we paka? kanisa linaruhusu uzinzi? umesoma wapi hiyo ? tatizo mnaongea ongea tu wakati ata kanisa lenyewe hamlijui.
 
Ndio nini sasa hicho? yani kutoa Yesu na kubakiza Kristo. Kama ni kuugua kweli nimeanza kuamini. Mara mnang'oa macover ya bibilia. Yani hapo kanisani kwenu ata asilimia moja hakuna wanojua historia ya bibilia.
 
Wakuu nijuavyo mimi ni kuwa WOKOVU ndicho kitu cha muhimu zaidi kuliko DINI.Hii ni kwasababu Wokovu ni mpango wa MUNGU kumpata mwanadamu wakati DINI ni mipango,makubaliano na utaratibu wa wanadamu kumwabudu MUNGU.
-Na sidhani kuwa MUNGU anaconsider sana dini zetu zaidi ya mioyo yetu kuiokoa kwa njia ya Yesu Kristo.
 
Ndio nini sasa hicho? yani kutoa Yesu na kubakiza Kristo. Kama ni kuugua kweli nimeanza kuamini. Mara mnang'oa macover ya bibilia. Yani hapo kanisani kwenu ata asilimia moja hakuna wanojua historia ya bibilia.

Pole sana!
 
Misimamo miovu ipi we paka? kanisa linaruhusu uzinzi? umesoma wapi hiyo ? tatizo mnaongea ongea tu wakati ata kanisa lenyewe hamlijui.

Una aibu? Kama umeishiwa hoja unaanza matusi ya nini? Au wewe ni mmoja wa wauza unga unaetoa sadaka akifikiri MUNGU atakubariki kwa udhalimu? Pole sana! kamwe siwezi kurudisha tusi kwa tusi maana naelewa nimeugusa mzimu wako
 
Pole ni kwako wewe mfuasi wa Shetani Munuo ambaye yupo Jehanam muda huu akiteketea...

Ah haaaa! Such a funny character like his name! Kimtiacho mtu unajisi ni kile kimtokacho! Mawazo najisI hutoa matamshi najisi! Soma Methali 18:2 ili kukupa kwa ufasaha ushauri niliokupa jana.
 
wewe ni nabii wa uongo tena ni mtu hatari sana kwa kuwadanganya watu kuwa hakuna dhambi duniani.
 
Nahisi kuchoka sasa duuuuuh!!

Yohana 3:16

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.

Haya mambo ya Nabii, Dini yangu, Kanisa langu ni kilele na mbwembwe zetu tu wanadamu wala Mungu hafungwi/ashurutishwi kufuata ufahamu na matakwa yetu; bali huliangalia Neno lake kama nilivyonukuu hapo juu.
 
Ah haaaa! Such a funny character like his name! Kimtiacho mtu unajisi ni kile kimtokacho! Mawazo najisI hutoa matamshi najisi! Soma Methali 18:2 ili kukupa kwa ufasaha ushauri niliokupa jana.

Yani we mfuasi wa lusifer marehemu ndo wakunipa mm ushauri...???

Huyu laana Munuo aliyewapotosha ndo kawafanya vichaa....na ushauri niliokupa ni kwenda cliniki ya magonjwa ya bichaa mapemaa..
 
Yani we mfuasi wa lusifer marehemu ndo wakunipa mm ushauri...???

Huyu laana Munuo aliyewapotosha ndo kawafanya vichaa....na ushauri niliokupa ni kwenda cliniki ya magonjwa ya bichaa mapemaa..

Mfuasi wa shaitwan ni wewe unaeogopa kusoma NENO! Pole nimegundua naongea na kerubi sijibu tena chochote utakachoandika kerubi mkubwa wee!
 
Daah..........huu ni upotovu wa hali ya juu sana! Kwa hiyo Yesu hakufa? Hivi hilo neno mnalisoma huko ni lipi wenzetu linalowafanya muwe hivyo.........................Kwa hiyo Yesu na Kristo ni watu wawili tofauti?????

Mweee............hi ni mbaya sana, weka mbali na watoto kwa kweli..........................lol
 
Mfuasi wa shaitwan ni wewe unaeogopa kusoma NENO! Pole nimegundua naongea na kerubi sijibu tena chochote utakachoandika kerubi mkubwa wee!
.

Matusi haya yanaashiria lipo tatizo moyoni.
 
Sawa, kwa nini na nini haya makundi SUNNI, SHIITE, SHIA, SUFII na AHIMADIYA?
 
Mimi si mrumi ila nimechoka kufanya church shopping ninatafuta kweli ilipo kwani najua ukweli ni mmoja. Nimechoka kupelekwa pelekwa kwa mambo ya kuambiwa. Ninautafuta mwenyewe iwe kwa unaowaita warumi , nyinyi siloam , uislam nk mpaka nitaupata na nitatulia. Sasa wewe badala ya kunisaidia unatoa tu kashfa. Kashfa nyingi mimi nimeanza kugundua ni propaganda kwa hiyo huwa sisikilizi mpaka nitafiti na nijiridhishe zina mashiko otherwise, inaonekana ata hujielewi ni stress na imani hafifu imekupeleka huko ulipo.
 
Mnapeana Unabii ili mtafune Kondoo kwa raha zenu sio?

We mnyonga viuno Una laana.

Mnapigana mimba makanisani km Hakuna Serikali?
Hivi kweli hizi Ebola zitamalizika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…