Kuna wale wa kuangalia TV ful day, its okay to watch after kumaliza kazi,ila inakuwa too much pale unakuta kazi hazijafanyika kumbe ful day kana spend watching TV,Movie n Music, mpaka jirani walipokuja kunitonya kwa kuniuliza hivi kuna movie theatre au disco hapo home kwangu..
Umeanza ee?
Namuomba!
Kutopenda kuoga ni kama ugonjwa kwa wengi wao,usipokuwa mkali haogi kweli.
Mi namwambiaga zunguka uwezavyo lakini bafuni utaingia tu!
pole....siku nyingine ungemkuta wanagegedana live kwenye bed lako au sofa na Bf wake ungefanyaje sijui
Mwaya kazi unayo.
Kwani hata nilimaliza!!!????
Ila???
Aingie jikoni kugusa vyombo na uchafu huo? majanga!
hhaaaa kama nakuona umbuje
Ukielekea wapi muda huo?
Maana mpaka miss neddy ameshangaa leo!!!
Mh!Ha ha haaa huyo miss neddy anachokonoa ili ajiweke yeye shauri yako kama hujamsoma!!!!!
Katika mambo ambayo sifagilii ni interaction ya dada na majirani. Kila nyumba ina formula yake na the minute hizi interactions zinaanza, everything has been compromised. Ndo mpaka kukanda maandazi kwa jirani? Watoto walikuwa wapi?
Aahahahhh hii imenikumbusha, siku hiyo nilirudi nyumbani ghafla mchana, lol! namkuta mdada wametenga chakula mezani wanakula na njemba, bado nashangaa yule njemba sijui hata alichomokea wapi, kilichofuata nilimwambia afungashe kila kilicho chake, jioni nikaenda kumkabidhi kwa kondakta wa basi, nikapiga simu kijijini wakampokea wakamrudisha kwako, wadada ni pasua kichwa aisee