Vaislay seriously badala ya kuhuzunika unaweza kujikuta anacheka. Mtoto anauma bwana weee. Kuangushawa kila mara kisa nini.
Huyo wa mende anaweza kuweka hata nnya am telling you.
Kutopenda kuoga ni kama ugonjwa kwa wengi wao,usipokuwa mkali haogi kweli.
Mi namwambiaga zunguka uwezavyo lakini bafuni utaingia tu!
kuna video moja iko mitandaoni housegirl anamseduce mtoto mdogo inasikitisha mno anamlazimisha mtoto azame chumvini kisha anampa GOTI
Aise hawa mahouse helper kila mmoja na vituko vyake!!!!
1. Tina Nyama kilo 1 atakula jikoni mtakuta nusu
2. Tina Juice ana blend jugge Zima kwa watoto wawili, anawawekea katika vikombe vidogo nyingine yake
3.Mwingine alikuwa anajichekesha na kujilengesha kwangu, kuinusuru ndoa niliamuru aondoke haraka sana. Wife aka mind akidhani labda nilimtaka akawa mgumu. Nilimpa uwazi baada ya binti kuondoka
4. Mwingine Mabwana hadi walikuwa wanakuja kupigana kwenye gate
5. Mwingine alikaa almost 8 years!! Kumbe alikuwa na bwana jirani na akawa anaiba vitu bila sisi kugundua na bwana anatafuta soko. Tulikisia kwa current price ni over 50m (vingi vya ujenzi imported from Dubai and China). Tulimwamini sana. Kumbe pia alikuwa anaenda kwa waganga kutupumbaza tusigundue. Kweli tulikuwa hata hatupitii stoo tuliyo hifadhi!!! Kimsingi maombi yalituponya ndipo tukafunguka na kuona uovu ule. Tulimfukuza kama mnyama!!!
Husiamini hata huyo cousin wako...dunia imeharibika sasa...huyo cousin anaweza 'kumharibu' huyo son wako.
Kama kuna uwezekano, mwanao asilale na huyo cousin...kila mtu na chumba chake...dunia chafu hii mdada...
Jambo la msingi ni kuwa karibu mno na mwanao...ukaribu huo utamfanya aweze kukuambia mambo yote juu yake...jaribu kuwa unafanya naye mazungumzo ya kumpeleleza mambo yake....
Kila la kheri katika malezi...

Nahisi jana baridi imeniingia kifuani. Kinauma. Sasa bwana ukinichekesha hivi ujue unanisababishia maumivu?lolkuna wa kwangu anaiba vyakula anapeleka kwa boyfrend wake jirani kila siku tukiwa job. Huyo bf wake kalikua kembamba kwa sasa ana shavu dodo ka paka wa hotel.Namuandalia kautaratibu kazuri kakumshughurikia.
Hahahaha. Lols. Umenikumbusha nimekuwa na houseboy wawili. Mmoja ELia wa Iringa. He has very nice big brown eyes. Nahisi ze hazband aliona hatari flani. He was very musculuar.
Akaja Moze. Jamani kumbe ni cha pombe. siku ya siku tumemkuta kakaa sebuleni kachoma nyama anakula na bia huku amekubatia tu dame tuwili. lol!
Husiamini hata huyo cousin wako...dunia imeharibika sasa...huyo cousin anaweza 'kumharibu' huyo son wako.
Kama kuna uwezekano, mwanao asilale na huyo cousin...kila mtu na chumba chake...dunia chafu hii mdada...
Jambo la msingi ni kuwa karibu mno na mwanao...ukaribu huo utamfanya aweze kukuambia mambo yote juu yake...jaribu kuwa unafanya naye mazungumzo ya kumpeleleza mambo yake....
Kila la kheri katika malezi...
hahahahaha malizia story mkamtimua au
Sikumtimua pale pale. Moze bwana siku yakuja kazini the first time alikuja na jiko la mchina na kaunga ka sembe kwenye begi na mboga ya Chinese. Halafu alikuwa Mmalawi tulikuwa hatuelewani lugha. lol
Wangu alifagia hasa vifaa vya ujenzi. Hawa sio watu wa kuwa underestimate baba yangu. They are very smart.
Vichawi kweli sikuhizi ..poleni aise
Sisi binaadamu ni watu wa ajabu sana. Unakuta mdada mzuri yupo kwa ma hayawani.Karucee we acha tu dada yangu. Yaani tulimchukua Feb 2006 na 2008 tukamchukua mwanae akiwa darasa la kwanza!!! Tukawa tunamsomeshea mpaka tution shule nzuri primary ya serikali!!! Kumbe na mwanaye alivyokua akawa anaiba vyuma chakavu na vingine ni spear za magari unakuta imeisha tu kidogo tunaweka!!! Mpaka magrill ya madirisha ya nyumba ilibomolewa mahali alipeleka chuma chakavu!! Mama mwizi, mtoto mwizi!!!!! Tuliwatimua November 2013 mtoto akiwa anajiandaa kuingia la 7. Wako kijijini mtu kanipigia simu hali zao tete maana mtoto maisha ya kule hayawezi na mama amebaki mifupa tu!!!! Mmachame huyo!!!!! Samahani najua wamachame wengine ni wema. Do not be offended guys!!!! Tuliletewa na rafiki wa wife!!