Lol si hivyo AD ninamaanisha kuwa (sijui nakosea?) but ile pete na ile will you marry me si inatakiwa iwe kama suprise hivi? Kuwa unaye boyfriend but hujui lengo lake kwako, you are having your good time together, no known future plans and then baaaam unashtuka tu mtu kapiga goti, au ndo kakudumbukizia kwenye glasi yenye red wine e.t.c ndio anakuomba au nimeathirika na tamthilia??
Huku kwa wengi wetu naonaga mdada anakuwa ameshaakubaliana na mwenzake kuwa atamuoa (wengine mimba zinakuwa vichocheo). So hata anapokuja na pete mdomoni, na kuomba akubali amuoe, ile excitement inakuwa imeshachakachuliwa au?
Mwe mie wa zamani jamani, haya yote ni mashikolo magheni kwangu.
Inauma Sana Mkuu, Inauma Sana tena sana
AD no please
Yaani mhusika hapo yuko tayari kwa jibu moja tuu nalo ni YES
Usishangae mtu akadondoka kwa presha aise
Utakapoambiwa NO wakati ulikuwa unaexpect YES unaweza pata heart attack
umewahi kusikia
pale mtu anauliza "will you marry me"
halafu msichana anasema "I don't know what to say"..
kama ndio wewe reaction yako hapo ni ipi??
Aisee lazima nitamuuliza "What do you mean by saying that" na ninajua at that time akili itakuwa inawaza mawili kwa yuko excited kiasi kwamba anashindwa kusema hata "YES" au natarajia kusikia habari ambazo ni ndivyo sivyoumewahi kusikia
pale mtu anauliza "will you marry me"
halafu msichana anasema "I don't know what to say"..
kama ndio wewe reaction yako hapo ni ipi??
Aisee lazima nitamuuliza "What do you mean by saying that" na ninajua at that time akili itakuwa inawaza mawili kwa yuko excited kiasi kwamba anashindwa kusema hata "YES" au natarajia kusikia habari ambazo ni ndivyo sivyo
Lol si hivyo AD ninamaanisha kuwa (sijui nakosea?) but ile pete na ile will you marry me si inatakiwa iwe kama suprise hivi? Kuwa unaye boyfriend but hujui lengo lake kwako, you are having your good time together, no known future plans and then baaaam unashtuka tu mtu kapiga goti, au ndo kakudumbukizia kwenye glasi yenye red wine e.t.c ndio anakuomba au nimeathirika na tamthilia??
Huku kwa wengi wetu naonaga mdada anakuwa ameshaakubaliana na mwenzake kuwa atamuoa (wengine mimba zinakuwa vichocheo). So hata anapokuja na pete mdomoni, na kuomba akubali amuoe, ile excitement inakuwa imeshachakachuliwa au?
Mwe mie wa zamani jamani, haya yote ni mashikolo magheni kwangu.
yaaani hiyo paragraph ya kwanza ume i summarised vizuri sana ndivyo swali lilivyo..
daahhh mie hiyo ya kukubaliana hivi hivi mmhh
haina utamu bana.. lohhh
tena naona inapendeza zaidi ukiwa na katumbo chako (mimba)
halafu mkuu anakuja na muziki mutamu anapiga goti shmP kwa pembe
halafu anakuuliza..
sijui ni mimi tu au naona hii ni siku ambayo kila msicha ana
deserve kuwa nao / kuiona.. inautamu wake nadhami...
Hivi kumbe ndo inavyotakiwa? Aisee!! Uzee huu
AD ina utamu wake sana
Sio kwa wanawake tuu hata kwetu wanaume wakati umepiga goti kusubiri uambiwe YES kwenye jibu lako
Sometime unajikuta uko mbele za watu wengi marafiki zako may be ambao umewaalika siku hiyo then wanasubiri kimya kuona jibu la mhusika
Yaani is so wonderful whether hata kama kuna mimba au nini
Sie Enzi zetu tulikua tunavizia wakienda Kisimani, unaweka begani huyooo!Kwani Kimey uliruka hii stage
Aise itabidi umkumbushie Mrs Kimey siku moja kwa kumsuprise
Aisee lazima nitamuuliza "What do you mean by saying that" na ninajua at that time akili itakuwa inawaza mawili kwa yuko excited kiasi kwamba anashindwa kusema hata "YES" au natarajia kusikia habari ambazo ni ndivyo sivyo
hahaha Sie huo uzungu hatujapitia bana! lolmmhhhh
Kimey , Kimey , Kimey ..
kwa sasa naishia hapo..
Bibie kuna ka hidden ajenda kwenye hii thread?duhhhh
kwa hiyo hapo roho juuu juu...
AD kwa Kimey ngoja nikae kimya lolmmhhhh
Kimey , Kimey , Kimey ..
kwa sasa naishia hapo..