Kazi za TANESCO ni zipi we mzushi?Kazi ya mbunge ni ipi nyie wanafiki hapo juu
Hata me nimemshangaa sana huyu jamaa!!!!!!Yaani wewe boya kweli mbunge amekuwa customer care wa tanesco? Pigeni tanesco acheni uzuzu
Kazi ya mbunge ni ipi nyie wanafiki hapo juu
Mambo mengine kuanzia usoni yanaonekana tu ni uongo. Silinde amewajibu hovyo!?
Acheni unazi wa kijinga matatizo ya wananchi jimboni nani mwakilishi anapaswa kuyapeleka serikalini?
Kazi ya mbunge ni ipi nyie wanafiki hapo juu
Ingekuwa kujengewa line/kuunganisha umeme toka Mby/Mbozi kuja Tunduma tungekuunga mkono kwamba kweli tunahitaji nguvu ya mbunge wetu. Sasa kukatika umeme nako tunamtaka Mbunge akafuatilie, kwani meneja wa Tanesco Kanda yenu amewajibu nini? Je mmewauliza Tanesco wamewaambia tatizo ni nini?