Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 2,266
- 3,825
Binadamu tumeumbwa tofauti.... Mimi kwa upande wangu nikiona mahala sipendwi either kwa viashiria vya wazi au vya kujifichaficha, najiuzulu mapema.
Inaweza kuwa
1. Uko kwenye mahusiano yasiyo na uelekeo, mwenza hana malengo yupoyupo tu na hashauriki(umeme mdogo)
2. Mwizi, anakuibia pesa(anachukua bila kuomba)
3. Mlevi, anaamka na pombe na alala amelewa yaani hapumziki kulewa.
4. Mvivu, hapendi kufanya kazi za nyumbani wala za kumuingizia kipato na ukimuelekeza anakuwa mkali, hataki kubadilika.
5. Mchafu, hapendi kuoga wala kufua nguo zake na hashauriki yaani ni mkali ukimshauri kwa manufaa yake.
6. Ana dharau, ukimshauri vitu vya maana anakuona mjinga, yeye anajiona mjanja( yaani ni mshamba)
Kwa viashiria tajwa hapo juu ni wazi kwa mtu mwenye akili timamu kupinga bila kuogopa macho ya watu, utapeli wa aina hii.
Upendo wa kweli husikiliza, hukubali na kuwa radhi kubadilika.
Lakini....... tukubali tukatae kuwa single ni gharama sana, maisha ya upweke ni magumu sana wallah, nipo single napambania maisha yangu na namuomba MUNGU anibariki namimi nimpate soulmate wangu inshallah sitaki kuendelea kuwa single.