Silali usiku: Mke wangu ana 'gubu'

Mwambie huyo mwanaume anywe bia ili kupunguza muda wa kushinda shinda nyumbani na mwanamke wake
 

Sasa hilo gugu linahusianaje na wewe kutolala? Ina maana unapotaka kulala ndio analeta gubu?

Kama ni hivyo basi usiku mpe kiywaji anachokipenda kwa namna ya mapenzi sana, ila hakikisha umeweka na dawa ya usingizi kwenye kinywaji. Usizidishe dawa ya usingizi, asije akalala kimoja (nisije nikawa nakupa wazo, utafungwa!)
 
basi for old time's sake..."Nipigie....Kasinde, nipigie..."

Nakupigia.... Mentor nakupigia............Tupigianeee.... this time mpitie na Watu8 - Revolving restaurant Lunch should be on Ramadhan time watu wanakuwa sio wengi........

But only if it sound good to you.

Wapi ganjaaaaa 😛😛😛
 
mshana jr nienda uninge ushauri kadori nikuvona uvecha du aha...nnekubigha
 
Nakupigia.... Mentor nakupigia............Tupigianeee.... this time mpitie na Watu8 - Revolving restaurant Lunch should be on Ramadhan time watu wanakuwa sio wengi........

But only if it sound good to you.

Wapi ganjaaaaa 😛😛😛


Hivi huyu mtu yupo bado palepale kwenye lile jengo? How come simuonagi tena siku hizi...

That sounds good...on a Friday i propose!!!
 
Mwambie amshughulikie vizuri usiku halafu aone kama kutakuwa na kelele.

Jitu linamakosa kibao, halafu hata shughuli haliiwezi kwa nini lilale, lipigie kelele hadi liende kushtaki kwao na dada yake aombe ushauri JF
 
Akili ya mwenye tatizo na nduguye inaonyesha wanahitaji kuanza kutumia dawa Ndio maana mke ana gubu kumbe mume anaenda kusema Kwa ndugu zake kila kinachotokea usiku kitandani kwake? Kwa mume wa aina hii bora kubadilishana na TV tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natamani wanawake wote wangekuwa na mtazamo kama wako. Ushauri mwema mno...............................
 
Hivi huyu mtu yupo bado palepale kwenye lile jengo? How come simuonagi tena siku hizi...

That sounds good...on a Friday i propose!!!

Hata sijui labda katumbuliwa jipu. .....

So it'll be Friday lunch without Watu8 ?
 
Teh! Kwani wakati wa mahusiano yenu hili gubu alikuwepo?au mlikutana harusini?loh!
 
Kila ugomvi chanzo chake ni au mfukoni au kitandani.
 

Kasieeee, daaah...umeua bendi. Ushauri mzito na mgumu kwelikweli. Hiyo tunaita komesha! Ha ha ha
 
Mwambie amtie mimba ataacha tu.....!!!
 
Kaushauri namba tatu hapo juu katamu sana.

Ngoja na mimi nikakatumie kwa mchepuko wangu
 
Kaushauri namba tatu hapo juu katamu sana.

Ngoja na mimi nikakatumie kwa mchepuko wangu
Mchepuko nao unagubu mweeh polee mie nilijua gubu ni maza hausi pekeyao. ....
 
Wanaume mlivyo bidhaa adimu siku hizi afu kuna mwanamke analeta gubu kwa mumewe. Dah mwambie usajili utasitishwa aache domo. Mkiongea yakaisha basi yaishe kweli.....
 
Mwambie huyo mwanamme atafute pesa tu, pesa ndio dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…