Silaha bora ya kutungulia Ndege/Makombora S-400 ya Russia

Silaha bora ya kutungulia Ndege/Makombora S-400 ya Russia

Stealth huwa hazionekani na adui hasa zinapokuwa kwenye mpango wa hujuma.
Huo ndio ukweli mchungu.
Na zile meli zimepotelea wapi?

Wenzetu vita mnapigania twitter na CNN?
 
Kufeli kwa majaribio ya makombora ya korea ndio habari kuu.
Aliyetoa hizo habari za kufeli ni serikali ya Korea au Fox News?

And by the way hata jaribio likifeli si ina maana walijaribu? Kwani ni mara ya kwanza majaribio yao kufeli?
 
Lazima Usa ifyate mkia kwa mnorth korea wewe
Toka madege na mameli yatoweke kwenye upeo wa macho habari zinaeleza kuwa Kim jong UN anaishi kwenye mashimo kwa kuwa hajui ni cruise missile au guided bomb ndio "zitasababisha"
Mwenzenu hapati choo toka change of cause iwe implemented.
 
Aliyetoa hizo habari za kufeli ni serikali ya Korea au Fox News?

And by the way hata jaribio likifeli si ina maana walijaribu? Kwani ni mara ya kwanza majaribio yao kufeli?
Msiwachuuze wenzenu wakaingia vitani wakiyategemea makombora ya kujaribia Frontline.
 
Hata hapa Tz wiki ilopita wamefunga mfumo wa S500 [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
  • Thanks
Reactions: MC7
S-400 ni silaha bora sana ya Kutungulia ndege duniani na makombora hayo yanatengenezwa na Urusi. Leo Urusi imeyaweka makombora hayo tayari kwa vita katika jiji la Moscow. Nchi ya Syria imepewa makombora hayo hivi majuzi kufuatia mashambulizi ya Marekani kwenye kambi ya jeshi la anga ya nchi hiyo ya Syria. Kombora hilo linauwezo wa kuuangusha ndege yeyote inayoruka katika anga ya Israel, Uturuki na Iraq.

Jeshi la anga la Marekani limeshtushwa sana kwa nchi ya Syria kupewa makombora hayo, unit moja ya kombora hii ni dola milioni 400 za kimarekani na kombora hii inauwezo wa kutungua ndege iliyoko umbali wa kilomita 400 kwa speed kali sana.
Rais Putin wa Urusi ameonyesha amedhamiria kuleta balance of power mashariki ya kati.
View attachment 498029 View attachment 498030 View attachment 498031
Serikali ya Uturuki ipo kwenye mazungumzo na Urusi kununua makombora haya S-400. Tukumbuke Uturiki ipo kwenye Umoja wa nchi za kujihami wa NATO.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kuna Watu Wanauliza km S-300,S-400 na Pantisir air defence zipo Siria iweje US aliipiga Kambi ya Jeshi la Syria kwa Tomhwak missiles.....Ebu Tujiulize US Tomhawk missiles zilizo rushwa Syria zilikua 59 lakini Only 23 landed in Syria hizo nyingine 36 zilienda wapi nadhan jibu unalo! Hakuna Shaka kwa Sasa S-400 Triumph haina mpinzani japo Israel ana Arrow 3 System, US ana Agies na Patriot system,Iran ndo ana test Bavar System japo Sayad 2 is operational.....ChiNa ana HK system ambazo zinatumia analogy ya S-300 za Russia na Kuna joint project ya France/Italy nao wana system zao.....So S-500 Sijui itakuaje
Hizo kombora za S-400 hazikuwepo Syria wakati wa shambulio ya Marekani huko Syria.
 
Hizo kombora za S-400 hazikuwepo Syria wakati wa shambulio ya Marekani huko Syria.
S400 zilikuwepo pia hata ile kambi iliyolipuliwa ilikua kwenye coverage yake maaana ile kambi ilkua karbu na Damascus zilipo(s400).
0bdcf8251ecb4494d9712cd24edc2336.jpg
 
Hata hapa Tz wiki ilopita wamefunga mfumo wa S500 [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mkuu hiyo S500 ni more advanced ya S400!Ni technolojia ya hali ya juu sana ambayo jamaa wako kwenye ubunifu wake!
 
S400 zilikuwepo pia hata ile kambi iliyolipuliwa ilikua kwenye coverage yake maaana ile kambi ilkua karbu na Damascus zilipo(s400).
0bdcf8251ecb4494d9712cd24edc2336.jpg
Kwanini Syria wamehamishia ndege zao kwenye kambi ya wanajeshi wa russia?? The fact ni kwamba kweli hiyo system iko mpaka sasa ila iko pale kwaajili ya kulinda kambi na opereshen za Russia tu. Ndio maana Russia wakasema tutaisaidia Syria kujilinda sio kuilinda.
 
Baada ya mashambulizi ya marekani ndipo Russia ilipeleka silaha hizi kwa haraka Syria.
 
Back
Top Bottom