niambie jinsi ya kuishi na mume wangu, kwani huyo ni mume wako pia
niambie jinsi ya kumwandalia chakula, kwani wajua mapendeleo yake
niambie jinsi ya kuwa naye faragha, kwani ulishawai kuwa nae
niambie Kaunga niambie.kwani mwenzio nitaumbuka

ahaa pachimbike nini tena? wanasema ni wako akiwa kwako akitoka nje si wako madameee!
Thanks, niambie basi niboreshe wapi.
Lkn ujumbe umeupata? Trust in yourself this 2013, coz Mungu kaku-trust with your life!