Sikuwa na malengo naye, ila anataka nimuoe

Sikuwa na malengo naye, ila anataka nimuoe

😀😀😀masihara hayo miss chagga
sio maskhara ndo ukweli wenyewe kukojoa kuna ka utamu kake bana asikwambie mtu, ukionja mara moja unatamani kuongeza demu naye anaona ohoooo kumbe ninamridhisha lazima ajione kuwa ni mke tayari
 
Suala la binti kujirahisi kwa kulala na mwanaume wa rafiki hata kama waliachana hamulioni mnaona tu ulemavu wa ngozi? No! Dear Son if you not into her just be straight with her,usiiolee dunia itaku-cost! Dhamira yako Mungu anaijua na thats very enough!
 
aah! sasa mimi nilijua kuwa na yeye yuko na mimi kwa ajili ya starehe tuu.. kwa sababu hatukuwahi kuambiana maneno ya kimapenzi zaidi ya kuja room kunipikia, kunifulia nguo na kuKwichi Kwichi bhasssss
heeee kwani umemtia mimba? suala la rangi ya ngozi sio kigezo cha wewe kukufanya ufanye maamuzi ambayo hukuyapanga kabla kwani kufanya hivyo najua haitakuwa ndoa nzuri, wewe tengeneza mambo yako kadri roho inavyokuongoza
 
usiache kutuletea mrejesho tujue kama umefanikiwa kuondokana na tatizo hilo.
ok, mrejesho nitaleta Saturday kwa sababu naendelea kupokea ushauri wenu mpaka friday 23:59
 
sio maskhara ndo ukweli wenyewe kukojoa kuna ka utamu kake bana asikwambie mtu, ukionja mara moja unatamani kuongeza demu naye anaona ohoooo kumbe ninamridhisha lazima ajione kuwa ni mke tayari
na kuzidisha kiuno feni kabisaaa
 
heeee kwani umemtia mimba? suala la rangi ya ngozi sio kigezo cha wewe kukufanya ufanye maamuzi ambayo hukuyapanga kabla kwani kufanya hivyo najua haitakuwa ndoa nzuri, wewe tengeneza mambo yako kadri roho inavyokuongoza
asante kwa ushauri
 
Pole dada yangu tatizo lipo pande zote sio sisi wala ninyi unaweza kukuta mke mzuri dume bazazi au mume mzuri anaangukia kwa nungayembe.Ingekuwa kama simu unaweza kutoa chip na ku delete all the bad memories ingekuwa sawa but hii chip ndani ya moyo hatuwezi kui delete.
Relationships Are Like Glass

Sometimes It's Better To Leave Them Broken

Than

Try To Hurt Yourself Putting It Back Together
 
Suala la binti kujirahisi kwa kulala na mwanaume wa rafiki hata kama waliachana hamulioni mnaona tu ulemavu wa ngozi? No! Dear Son if you not into her just be straight with her,usiiolee dunia itaku-cost! Dhamira yako Mungu anaijua na thats very enough!
thanks for your advice. ila tatizo liko kwake na kwa hawa walimwengu.. ukichukua uamuzi wakufwata Moyo wàko bado wataBlame kuwà sababu ni ulemavu wa ngozi
 
thanks for your advice. ila tatizo liko kwake na kwa hawa walimwengu.. ukichukua uamuzi wakufwata Moyo wàko bado wataBlame kuwà sababu ni ulemavu wa ngozi
So you are going to satisfy people just because they gonna blame?! You have too long to go,all the best!
 
daah! sijui sasa nitaanzia wapi maana kashaanza kuingiza na maneno yake ya unyanyapaa, nahisi nikimwambia ndo itazidi kuwa mbaya zaid..
naona ni bora nimpige saundi ambalo hata yeye mwenyewe alielewe na kuliafiki
Mpe saundi tu atakubaliana kibishi, akigusia kua kuna aspect ya unyanyapaa mwambie kama ingekua hivyo usingemla vyombo[emoji12]

tena mtengeneze kua "ananoga" kuliko wasio walemavu wa ngozi ni watu hawajui tu!..ila muonyeshe kua unamheshimu na kumthamini kama mwanamke yeyote ila la kutokuoa ni vile hujawa tayari.

Naamini taratibu ataelewa ikiwezekana punguza ukaribu na usigonge sana..slow but shua utaanza kuona anajikataa na kukuona we husomeki[emoji15]
 
aah! mbona hiyo ya kumpamba kuwa ananoga kuliko siye nmeshamsifia mara kibao but all in all ni Ushauri mzuri
 
jonax Hii kesi isikuumize kichwa unaenda kuishi maisha yako inabidi ujitambue sio kumfurahisha mtu wala kuwafurahisha watu lini ulishafanya kitu kizuri au kibaya kisisemwe. Kuhusu jinsi ya kuachana naye kuwa straight forward tu ili aumie mara moja lakini time is the best healer atakusahau nawe utamsahau kuliko atumie point ya yeye kuwa mlemavu wa ngozi ili apate huruma zako,maisha ya ndoa ni zaidi ya hapo. Baada ya hiyo dhoruba kupita (usiogope kisasi chochote jiamini) kuwa serious usianze tena kutest test.
 
Back
Top Bottom