Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,770
- 26,202
- Thread starter
- #121
asante kwa ushauriSi vema kuanzisha mahusiano kama hayo mara tu baada ya kuachana au kutendwa by whatever means. Ndio maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu. Achana naye mueleze ukweli tu, kisha acha ngono hovyo hivyo. Hujasema kama ulitumia nanilihi muda wote huo...!! Je, status zenyu za vvu, gono, kaswende nk zipoje.? Bado hata hujajijenga unaendekeza vitu hivi akati unaishi single rum really..! Mtumishi wa umma embu tulia kwanza weka mambo sawa kisha yote utapata kiulaini