Sikuwa na malengo naye, ila anataka nimuoe

Sikuwa na malengo naye, ila anataka nimuoe

Hama hapo ulipopanga anzisha mahudiano na mtu unaempenda acha kucheza na hisia za mabinti.
 
Nakushauri Acha pombe, utakuja kupata matatizo makubwa Zaidi ya hayo ya kutapika na kuoa bila malengo....
 
Kamata fursa kijana hao huwa sio malaya kama hawa wasio walemavu
 
Unaniumiza moyo wangu sana,heshimu wanawake bhana,jiheshm pia.first day ilikuwa mistake coz ulilewa,bt still ukaendelea nae kwa lengo LA kumchezea tu,at replacement!!! Asingeleta habar za ndoa ulipanga kumchezea hadi lin..? Hauko serious na moyo wa Dada wa watu

Umelitendea haki jina lako
 
Unaniumiza moyo wangu sana,heshimu wanawake bhana,jiheshm pia.first day ilikuwa mistake coz ulilewa,bt still ukaendelea nae kwa lengo LA kumchezea tu,at replacement!!! Asingeleta habar za ndoa ulipanga kumchezea hadi lin..? Hauko serious na moyo wa Dada wa watu
thanks for advice
 
Hama hapo ulipopanga anzisha mahudiano na mtu unaempenda acha kucheza na hisia za mabinti.
ushauri mzuri, ni bora nihame kama ulivyosema kuliko kuendelea kuwa naye karibu hivyo itachangia mapenzi kupanga hata kama atakuwa ananiona mtaani
 
We ni mnyanyapaa ndiyo coz umesema ukoo na ndugu na etc watapinga uhusiano wenu boss
 
Baada ya kupata na kufanikiwa kupata kazi kwenye mashirika ya uma nilipangiwa kazi mkoani na ndo mpaka sasa nafanyia kazi huku. Baada ya kuwasili kazini ilinibidi nikayafute nyumba ya kufanikiwa kupata maeneo ambayo hayakuwa mbali sana na sehemu kazi niliyokuwa nafanyia.
Sasa ikapita siku na miezi kadhaa nikawa tayari nmeshazoea kazi na kuzoea mtaa wangu niliokuwa naishi. Ila hapo kwenye hiyo nyumba niliyokuwa nmepanga wapangaji waliokuwa wengi walikuwa ni wa kike wakiume tukiwa ni wawili tuu, mimi pamoja na jobmate wangu.
siku zilivyozidi kwenda ghafla nkajikuta nkp kwenye mahusiano na mpangaji mwenzangu aliyekuwa akifanya kazi Uhamiaji. basi mapenzi yakaendelea kwa muda mrefu na yeye akawa ni zaidi ya mwenyeji wangu wangu kwa sababu yeye alkuwa ni mzaliwa wa huku. basi siku moja akamleta rafiki yake kupanga pale ili wawe karibu kwa sababu wanasema walikuwa ni marafiki wa muda mrefu.
Ila huyu rafiki yake alikuwa ni mlemavu wa ngozi(albinism) basi na yeye nikafahamiana naye sana kama shemeji yangu na tukawa tunatoka dinner,club au kwenda kuangalia mpira mara kwa mara tukiongozana na huyu shemeji yangu pamoja na GF wangu.
Sasa kwa bahati mbaya huyu GF wangu akahamishiwa kikazi mkoa wa mbali na niliokuwa naishi. kwa mfano ni sawa na ulikuwa unaishi Dar basi yeye akahamishiwa Kigoma.
Basi nikabaki na yule rafiki yake yeue akawa tayari yuko mbali na sisi ila akawa anakuja likizo fupi mara moja moja kwa sababu familia(wazazi) wanaishi huku. hivyo ikapelekea mahusiano kuanza kupungia day after day kutokana na distance iliyokuwepo baina yetu. ikafikia mpaka kipkndi akaniambia kuwa kashapata mshikaji mwingine ambaye pia ni mfanyakazi mwenzake.
Basi siku moja mida ya 7 za usiku nikiwa nimerudi home kutoka kwenye mishe zangu na nikiwa pia nmelewa, nkamkuta yule shemeji wangu akiwa ametoka kuoga hvyo nkamsalimia na kuingia ndani ila yeye akaanza kunitania akisema "aisee kumbe na ujanja wote ule wa kujifanya mpiga tungi sana kumbe unayumbana namna hyo?" basi mimi nkamjibu kilevi kuwa ni leo tuu ndo imekuwa hiv.. basi ghafla kichefu chefu kikamijia na kuanza kutapia, yani nilitapika sana na hyo yote nilijua ni kutoka na kuchanganya hizi bia za offer.
Basi huyu shemeji wangu akaja na kuanza kunipa treatment huku akinicjeka kuwa leo nmepatikana na jinsi nilivyotapika ndo kabisa... nikawa nmezidi kulewa mara 10 zaidi ya nilivyokuwa mwanzo, basi akanisaidia kuniingiza ndani na kwenda kwake na kuniletea krest na rojo ya ndizi alizokuwa amepika siku ile, basi nkala kimtindo mpaka nkajisikia kuanza kupata ahueni sasa. basi baada ya kumaliza hapo tukaanza kupiga storry za hapa na pale ila nyingi zikiwa ni kunitania jinsi nilivyolewa nmelewa siku hyo na kunicheka pia.
ILA ghafla nikajikuta usiku huo NABANJUKA naye kwa sababu alikuwa amevaa kanga moja iliyokuwa imelowa na maji sehemu kadhaa na kusababisha kuleta stimu na vile kuongea tukiwa karibu na kugusana gusana hovyo. basi usiku huo NIKAGONGA sana mpaka alifajiri alipoamka na kwenda kwake.
Basi kuanzia siku hiyo demu akakolea kwangu mpaka wapangaji wengine wakawa wameanza kuhisi na hiyo yote ni kuja kwa room yangu all the time.
Sasa tatizo likaja pale demu anataka eti ni muoe tusiishie kuchezeana tuu... Na ukiangalia mimi wala sikuwa na malengo naye mimi nilifanya kama replacement ya fafiki yake tuu kwa sababu sikuwa na mpenzi mwingne kwa kipindi hicho na mpaka sasa ananing'ang'ania NIMUOE alafu na hayupo moyoni kabisa kwa sababu kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kutongozana au kuambiàna kama tunapendana.
SASA TATIZO LIMEKUJA HAPA KUNISUMBUA KILA SIKU KUWA AKITAKA NIMUOE NA TAYARI KASHAWAAMBIA NDUGU ZAKE KUWA KAPATA MPENZI AMBAYE NI MIMI. ALAFU NA MIMI SINA MALENGO NAYE NA HATA NIKIMKUBALIA SIDHANI KAMA FAMILIA/NDUGU ZANGU WATANISUPPORT AU KUACCEPT KWA HILI.
sasa niko njia panda wadau nichukue uamuzi upi, kwa sababu kashaanza kusema kuwa mimi eti mimi namnyanyapaa kwa sababu ya ulemavu wake(Albinism) kumbe hata siko hivyo.
NAOMBENI WADAU ADVICE ZENU MAANA NAAMINI ZITANIJENGA NA KUNIPA MUONGOZO MZURI ZAIDI.
nawasilisha🙂
Chai hii
 
Mkuu, pole kwa yaliyokukuta ila jitahidi kuisema kweli ya moyo wako bila kupepesa macha na hiyo ndo itakuokoa, utakapoanza kuingiza mambo ya kunyanyapaana hautatengeneza kitu. Ipo siku utakuja kujilaumu bure na kubaki ukijisemea 'ni bora ninge....... kuliko.....'
Shaulilo!
 
Alaah!kumbe ilikuwa SAFISHA RUNGU limited!muwe mnawaambia mapema watu wamecheza kwaito za wenzie kama 2000 halafu weye unaleta maskhara waowaji wenyewe wamepungua kwa 90%unategemea nini?
 
Pole komaa kubanjuka hovyo huyo binti atahisi kunyanyapaliwa lakini labda kiukwel siyo .. Mwambie kuwa we huna mpango WA kula maishan mwako basi na ukija kula au kuwa na mpenzi usimlete maeneo ya home... Au pesa ya pango ikiisha hamia sehemu ingine.. Hiyo ni kashfa itakutafuna
 
Alaah!kumbe ilikuwa SAFISHA RUNGU limited!muwe mnawaambia mapema watu wamecheza kwaito za wenzie kama 2000 halafu weye unaleta maskhara waowaji wenyewe wamepungua kwa 90%unategemea nini?
ilikiwa ni pombe ila baada ya hapo yeye mwwnyewe ndo akawa anajileta leta tena room kwangu na kunipikia hivyo ikawa haina budi wa kupika na kupakua pamoja
 
Muoe tu kwa sababu hakuna namna nyingine, ulibanjuka nae mara ya kwanza,ya pili,ya tatu,.................... mara ya mia hukuona,leo kuambiwa muoane unaanza kuleta za kuleta, tena hyo dada afanye kuhamia kabisaa tuone utafanyaje
 
Halafu kuna kitu sikielewi na kinanichanganya sana

Nyie mabinti kila siku mnasema sisi tunawachezea kivipi kwa mfano?

Mbona na nyie mnatuchezeaga sana pale kwenye "koni" na sehemu kibao halafu ukitoka unasema nakuchezea....?
 
Back
Top Bottom