Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,767
- 26,192
- Thread starter
- #61
thanks for your adviceMkuu, pole kwa yaliyokukuta ila jitahidi kuisema kweli ya moyo wako bila kupepesa macha na hiyo ndo itakuokoa, utakapoanza kuingiza mambo ya kunyanyapaana hautatengeneza kitu. Ipo siku utakuja kujilaumu bure na kubaki ukijisemea 'ni bora ninge....... kuliko.....'
Shaulilo!