Sikutendewa Haki Tanga . . .

wee si ulibanwa na kibebi chako, afu wee mrefu ivo, ingenikaba koo

hahah wewe nani kakuambia mie mrefu...nina wasiwasi kuwa kule TA ulikuwepo na hii ni ID yako nyingine...
 
Kumbe ni Kongosho?

Bora hukuja!

nilikuwa nadhani ndio wale uliowaweka banda la uani ili kuzinusuru ndoa zetu! Acha alalamike maana hatukwenda kuvunja ndoa zetu Tanga! Potelea mbali!!!
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa nadhani ndio wale uliowaweka banda la uani ili kuzinusuru ndoa zetu! Acha alalamike maana hatukwenda kuvunja ndoa zetu Tanga! Potelea mbali!!!


Yaani huyu hakutakiwa kunusa Ta kabisa. Bora hata Madame B alipewa msamaha wa muda!

Nidhamu ya Kongosho iko chini ya kiwango na kama anataka kutembelea pande hii basi akaipe booster!
 
Last edited by a moderator:
huyu atakua ndio yule mhudumu wa Hotel kule Pangani, baada ya kuishiwa chips mayai akaanza kuuza chips maharage....

Alafu kweli kabisa, amekaa mkauzu kauzu. Alafu unakumbuka aliongeza na cha juu kwenye bili.
 
Heri yangu mie ni nzuri tu, sijui wewe Shemeji langu Originale.............

Mie mzima kiafya! Ila Tanga imenisababisha kuvutiwa na viwanja vinavyoitwa "Nyumbani!". Sasa nipo hapa Nyumbani Hotel & Restaurant hapa Moshi na nipo nyuma ya Ndovu kama kawaida!
 
Mie mzima kiafya! Ila Tanga imenisababisha kuvutiwa na viwanja vinavyoitwa "Nyumbani!". Sasa nipo hapa Nyumbani Hotel & Restaurant hapa Moshi na nipo nyuma ya Ndovu kama kawaida!

Kula raha Shemeji langu,
Nisalimie Mungi, Me Nimeacha Beer shem.
 
Last edited by a moderator:
Alafu kweli kabisa, amekaa mkauzu kauzu. Alafu unakumbuka aliongeza na cha juu kwenye bili.

Hahaha akakutana na raia hesabu za fweza ndio zimelala, ikala pande yake dakika 0
 
mmh; hata kama I was treated unfairly?

Acha nilalamike.

Happy New Year 'rude step kid'
am i rude? Hivi ulionaga movie ya problem child? Kevin McUlay na kabinti flani hivi. Ntake radhi la sivyo panachimbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…