Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,579
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
 
Ni Lissu pekee ndiye atakaye irudisha Tanganyika kwa Watanganyika. The rest wanachoangalia ni matumbo yao tu.
Yaani tumegeuka kuwa Taifa la wajinga kama tumerogwa,sisi ndiyo inchi iliyokuwa na misimamo leo hii mwanamke kutoka Zanzibar anakuja kututawa kweli? Tutawambia nini Wamasai na Wasukuma kanda ya ziwa,unawambia nini Wahehe na Wanyakyusa watakuelewa maana hizo ni jamii ambazo mwanamke hana nguvu na siyo ubaguzi bali ndiyo ukweli sababu huwezi kumfananisha Magufuri na Samia hata kwa dawa
 
Hapo mwanamke amewekwa tu kama picha ya ukutani. Wahuni ndiyo wanao tawala. Na usikute hata hizo pesa za kununulia mitungi ya gesi, baiskeli na pikipiki za kuwahonga wajinga; ni hao wahuni ndiyo wametoa ili baadaye zirudi mara dufu kupitia unyonyaji na wizi watakao ufanya kwenye raslimali zetu.

Ndugai pamoja na mapungufu yake yote! Alitahadharisha mapema kuhusu jambo hili. Mpaka kufikia hiuo 2030, nchi yote itakuwa imeshauzwa.
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini
Unacho takiwa kukijua ni kwamba huyu mama ni bingwa na maarufu kwa kutoa rushwa na kilichopo katekwa na wanamtandao ambao kupitia ukilaza wake kama Rais wanamtandao wana nufaika sana kupitia rasilimali za nchi ndio maana wapo radhi kufanya lolote abaki madarakani
 
Ukifikiria kiundani inasikitisha sana unabaki kijiapiza ipo siku lakini hari bado inazidi kuwa mbaya
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Ignorance of its kind. Tupo Tanzania iliyoasisiwa na Mtanganyika. Hujui hata kilivhotokea, halafu unakuja na mihemko. Waanzilidhi wa ni wale wa pande za Bara. Rejea kauli za Nyerere, Sitta na za yule aliyesema kanisani. Kwa nyinyi mulivyo, hata wewe ukipata ulwa leo utasema kama walivyosema hawa winzio. Kwani nyinyi muna tamaa ya fisi na husda ya kuzaliwa.

Tanzania itabaki mukitaka ibaki na itakufa mukitaka ife. Fanyeni basi, kwani sisi tulifanya mukatuzuia kwa mateso na vifungo, sasa fanyeni kwani wengi wetu huku hatuutaki huu.

Wakati ni huu.
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Tatizo udini na ubaguzi ndio unaowasumbua.
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Umeshesema mwanamke mtanganyika halafu unasema akagombee Zanzibar mbona unajichanganya ?atagombeaje Zanzibar wakati ni mtanganyika?pole sana
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Yaani tumegeuka kuwa Taifa la wajinga kama tumerogwa,sisi ndiyo inchi iliyokuwa na misimamo leo hii mwanamke kutoka Zanzibar anakuja kututawa kweli? Tutawambia nini Wamasai na Wasukuma kanda ya ziwa,unawambia nini Wahehe na Wanyakyusa watakuelewa maana hizo ni jamii ambazo mwanamke hana nguvu na siyo ubaguzi bali ndiyo ukweli sababu huwezi kumfananisha Magufuri na Samia hata kwa dawa
Haa haa kwani huyo Samia ni Rais wa Tanganyika au Tanzania?pole sana
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Dunia ni duara kweli. Umefika wakati mtanzania bara analalama kuhusu muungano . Ni chuki tu hakuna tatizo ndio inawafanya hawa waovu kuleta fitina baina ya watanzania.
Umoja ni nguvu
 
Unachanganyikiwa ukiwa wapi?
Hata haijulikani mnataka nini au hamtaki nini!

Ili mradi wewe ni mtu wa kupinga pinga bila hoja, utachanganyikiwa tu ni swala la muda.
 
Dunia ni duara kweli. Umefika wakati mtanzania bara analalama kuhusu muungano . Ni chuki tu hakuna tatizo ndio inawafanya hawa waovu kuleta fitina baina ya watanzania.
Umoja ni nguvu
Hawalalamikii muungano wanalalamikia Samia kua Raisi wa muungano
 
Back
Top Bottom