Sikutegemea hakika nimekoma ni majuto 70% furaha 10%

Joined
Jun 3, 2025
Posts
94
Reaction score
144
ISEE kiukweli mwenzenu nna majuto+furaha,kuna binti nilikutana nae katika harakati zetu vijana,mimi ni kijana ambae sijawahi kuoa japo ka umri kangu kanakaribia thirty,huyu binti sio pisi kali wala nini,na mimi niliwish siku zote nije kuoa binti ambae ni standard ili kuepusha mambo mengi against presha nk.

Mwaka huu januari kajifungua mtoto wa kiume,na ndo uzao wangu wa kwanza tangu nizaliwe.amezalia kwao pia baada ya kupata tu ujauzito alienda kwao.Wakuu nilisex nae mara mbili tuuu.Mara ya kwanza nilisex nae alitoa harufu kali sana,sio ya kisamaki nooo,namaanisha harufu kali unaweza dhani kuna kiumbe kimeozea ndani nakumbuka siku hiyo ilibidi nipige bao moja tukaishia pale.Alivoondoka nikampigia simu usiku tulivokuwa tunachat nikamuuliza kama ana ugonjwa kuhusiana na sehemu ya siri akasema sina,nikamdamganya kuwa mbona tulivoanza kusex ni kama ulikuwa unagugumia maumivu wakati wa kupenetretisha? akajibu ni vile hakuwa amelowa.

Basi,mimi nikapata wazo kuwa kwakuwa amesema haumwi,yawezekana kweli mimi kwa kuwa sikumuandaa vya kutosha au pengine hajajua kujisafisha sehemu zake kwa kuwa bado nae utoto mwingi NIKAPOTEZEA.MARA ya pili akajaga geto tena akatoa harufu ile ile kali japo hakugugumia maumivu lahaullah nikagundua huyu binti ana matatizo bac baada ya hapo nikamhoji tena nikamchana kwamba ana tatizo la harufu ukweni hivyo akipata muda tutakwenda kwa gynecologist hospitali basi akachukulia nimemdharau tukafokezana sana siku hiyo mpaka akakasirika akatoka geto hatukuwasiliana kama wik hv,Kwa kuwa niligundua ana hasira na ni mbishi mi nikaona haina nouma bas nikampotezea.LAKINI AKAJA KUNITAFUTA kama wiki mbili mbele kunipa taarifa kuwa ana ujauzito.

WAKUU HOJA YANGU SIO UJAUZITO,niliipokea taarifa kwa uzuri japo moyoni mwangu niliona sasa itakuwaje tena,maana binti kanizalia tayari na vp kama ntamuoa na harufu itaendelea hiyo ndoa itakuwaje maana sijui kama ni ugonjwa au lah! ushauri wenu wazoefu.
 
Mpaka sasa nimeshakula mademu zaidi ya 50+

Nilikuwa nasikia hz harufu nikawa siamin,maana nimeshakula wanawake wa dzain zote watoto,wamama mpaka mabinti

Ila 2023 nilikutana na huyo mmoja ndo niliamin haya mambo yapo,ingawaje alikuwa na viuno vya SGR lakin harufu ilinikata stimu ya kukutana nae tena
 
Subiri tusome vizuri
IMG_1764.jpeg
 
Angekutana na mimi ningempa psychological torture. Yaani kwa harufu hiyo ningemuweka doggy, nikampelekea moto huku namtapikia mgongoni
 
Mpaka sasa nimeshakula mademu zaidi ya 50+

Nilikuwa nasikia hz harufu nikawa siamin,maana nimeshakula wanawake wa dzain zote watoto,wamama mpaka mabinti

Ila 2023 nilikutana na huyo mmoja ndo niliamin haya mambo yapo,ingawaje alikuwa na viuno vya SGR lakin harufu ilinikata stimu ya kukutana nae tena
mkuu mimi huyo alikuwa wa tatu,wengi ilikuwa nikishabaini hayo matatizo napita kushoto ila huyu ndo akanasa na ujauzito,halafu ameniganda kinouma na ndo hvo kajifungua na mtoto sasa
 
ISEE kiukweli mwenzenu nna majuto+furaha,kuna binti nilikutana nae katika harakati zetu vijana,mimi ni kijana ambae sijawahi kuoa japo ka umri kangu kanakaribia thirty,huyu binti sio pisi kali wala nini,na mimi niliwish siku zote nije kuoa binti ambae ni standard ili kuepusha mambo mengi against presha nk.

Mwaka huu januari kajifungua mtoto wa kiume,na ndo uzao wangu wa kwanza tangu nizaliwe.amezalia kwao pia baada ya kupata tu ujauzito alienda kwao.Wakuu nilisex nae mara mbili tuuu.Mara ya kwanza nilisex nae alitoa harufu kali sana,sio ya kisamaki nooo,namaanisha harufu kali unaweza dhani kuna kiumbe kimeozea ndani nakumbuka siku hiyo ilibidi nipige bao moja tukaishia pale.Alivoondoka nikampigia simu usiku tulivokuwa tunachat nikamuuliza kama ana ugonjwa kuhusiana na sehemu ya siri akasema sina,nikamdamganya kuwa mbona tulivoanza kusex ni kama ulikuwa unagugumia maumivu wakati wa kupenetretisha? akajibu ni vile hakuwa amelowa.

Basi,mimi nikapata wazo kuwa kwakuwa amesema haumwi,yawezekana kweli mimi kwa kuwa sikumuandaa vya kutosha au pengine hajajua kujisafisha sehemu zake kwa kuwa bado nae utoto mwingi NIKAPOTEZEA.MARA ya pili akajaga geto tena akatoa harufu ile ile kali japo hakugugumia maumivu lahaullah nikagundua huyu binti ana matatizo bac baada ya hapo nikamhoji tena nikamchana kwamba ana tatizo la harufu ukweni hivyo akipata muda tutakwenda kwa gynecologist hospitali basi akachukulia nimemdharau tukafokezana sana siku hiyo mpaka akakasirika akatoka geto hatukuwasiliana kama wik hv,Kwa kuwa niligundua ana hasira na ni mbishi mi nikaona haina nouma bas nikampotezea.LAKINI AKAJA KUNITAFUTA kama wiki mbili mbele kunipa taarifa kuwa ana ujauzito.

WAKUU HOJA YANGU SIO UJAUZITO,niliipokea taarifa kwa uzuri japo moyoni mwangu niliona sasa itakuwaje tena,maana binti kanizalia tayari na vp kama ntamuoa na harufu itaendelea hiyo ndoa itakuwaje maana sijui kama ni ugonjwa au lah! ushauri wenu wazoefu.

Dalili yeyote unayoichukia kwa mwanamke hata kama umezaa mapacha 30, tunza wanao na kamwe usithubutu kuoa, unaenda kwenye mateso!

Issue ya harufu ni ngumu mno, utakuja kuanza kulala na wanawake huko nje au kuhisi huna nguvu za kiume kumbe ni hayo Mambo ya harufu.

Ujinga wake mwingine ni huo ubishi, yani huyo ni hasara, ila na wewe ni fala Kweli, na hiyo harufu umeloweka bila Kinga mara 2? Pumbavu kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom