Sikutarajia kazi hii ifanywe na media za kenya kweli kwetu kuna makanjanja

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Wakuu hali zenu,

Leo nimepata bahati kuangalia documentary kuhusu Loliondo reflection. Kusema ukweli ni muda mrefu sana nilitamani kitu kama hiki kifanyike sio kwa jambo la loliondo bali mambo mengi sana likiwemo la mikopo ya wanafunzi na miradi ya TASAF na umasikini, pia ushuhuda wa kina gwajima na kadhalika. leo hii hawajafuatilia mambo ya desi na mengi tu.

Napenda waandishi wadadisi kwenye mambo ya msingi. Lakini media za Tz zimekuwa butu sana. Yaani hupati habari za maana zaidi ya kusifu na ushabiki... Hili lilipaswa mfanye nyie kwa maslahi ya ukaribu wa eneo na legacy pia. ajabu imefanywa na citizen kenya!!!

waandishi wetu wamebaki kusubiria uwoya awape boosts ndipo waandike.
Poleni sana mliokumbwa na huu mkasa....

Nangu Mandokwa
 
Kila siku akina MK254 wanasema wametutangulia kuna mapunguani ya CcM humu yakaza shingo tu!

Hii nchi bwana!

Huenda angejenga Mtanzania Jiwe angeingilia isitoke!

Balaa sana!
 
Media za bongo kipindi hiki hazina pesa, watu wanapunguzwa kila uchao, ukiomba budget ya kwenda huko utapigwa danadana na utaambiwa Haina issue..
 
Back
Top Bottom