CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hahahahaaaaaaaaa
Mi simooo!
Ulidhani peremende kumbe kwa ndani imewekwa flagily lazma uchungu wake uusikilizie
Ila naomba kama umeamua hivyo ukimwona platozoom na BADILI TABIA usiumie moyo maana muda si mrefu utamwona keshamnasa
Long over due maamuzi,hongera sana,yaani ujue siku zote naugulia nikiona vile huyu bwana anakutenda,gest zote za kinondoni kazimaliza,ipi wasiyomjua?Hii ni kwa sababu ambazo alizitoa chumbani zisizo na msingi! kumbe amenisaliti na ....... watajitaja..... SITAKI TENA NAKWENDA KUSOMEA USISTAAAAAAA
NB: SITAKI USUMBUFU WA AINA YOYOTE KUANZIA SASA KUTOKA KWA YEYOTE!!!!!!!!!!!
maHuge!
We binti nini tena? Mapepo?
Hebu njoo nikuombee, kwa jina la.....
Inabidi nikuombee usiku mzima!
Kesho nikurejeshe kwa Plato, ukiwa fresh kichwani.
dume jike
Umeona eeeeh
Hapo chance ni yako tena wahi kabla ya Erotica hakujakupiga bao!
Long over due maamuzi,hongera sana,yaani ujue siku zote naugulia nikiona vile huyu bwana anakutenda,gest zote za kinondoni kazimaliza,ipi wasiyomjua?
Lakini na wewe umejiangalia kwenye kioo,uko safi kiasi gani?
Judgement.....come this way pliz.
Atajikakamua awe walau kama sisi wakongweIla ana pumzi? Asije niletea kesi mie...
Long over due maamuzi,hongera sana,yaani ujue siku zote naugulia nikiona vile huyu bwana anakutenda,gest zote za kinondoni kazimaliza,ipi wasiyomjua?
Lakini na wewe umejiangalia kwenye kioo,uko safi kiasi gani?
Judgement.....come this way pliz.