Sikusoma na mtu mwenye ndevu

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari zenu kwa mara nyingine tena,bac baada ya kula kipigo kutoka kwa polisi kutokana na kuangukiwa na jumba bovu,soma hapa https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/107281-yaliyonikuta-leo.html
Nikaamua kurudi nyumbani,nafika nyumbani napokelewa na mwanangu mpendwa,mwanangu huyu ana kithethe
MWANANGU:shikamoo baba
MIMI:marahaba
MWANANGU:baba vp mbona mangeu namna hiyo?
MIMI:nimeng'atwa na nyuki hapo njiani,lkn niko kidogo afadhali.
MWANANGU:sawa baba ila kuna mgeni alikuja anitwa Marsh.
MIMI:Marsh!
MWANANGU:ndio baba anasema mlisoma wote shule ya msingi Mapambano.
MIMI:Yukoje kwani huyo Marsh mwenyewe?
MWANANGU:Mnene na ana ndevu nyingi tu
MIMI:sikusoma shule ya msingi na mtu mwenye ndevu
 
dah! Kaka wewe ni waukwel baraaaa yan mmh! Ckuwez yan hii ya leo ni kal zaid m2 wangu dah! Ha,ha,ha,ha,ha,haaaa
 
Back
Top Bottom