hicho umnyimacho ni penzi au uchi?
Je umeshawahi kujiuliza hamu zake anazimalizia wapi?
Nakupa siri, usiku wa leo njoo Kona Bar Kijitonyama Afrika Sana
Unaonekana upo deep sana
n lipi na kipi cha kukufanya uunipende wakati sikupi hadi siku ya ndoa
I second that:A S shade:Hivi kumpenda mtu ni mpaka mpeane? Ninavyofahamu mimi ni kuwa upendo hujengeka kwanza kwa kutegemea vitu fulani fulani na kupeana huja kutimiliza furaha ya upendo. Kupeana sidhani kama ni dalili hasa ya kupenda kwa watu wanaoanza mahusiano ...!
Hivi kumpenda mtu ni mpaka mpeane? Ninavyofahamu mimi ni kuwa upendo hujengeka kwanza kwa kutegemea vitu fulani fulani na kupeana huja kutimiliza furaha ya upendo. Kupeana sidhani kama ni dalili hasa ya kupenda kwa watu wanaoanza mahusiano ...!
hicho umnyimacho ni penzi au uchi?
Je umeshawahi kujiuliza hamu zake anazimalizia wapi?
Nakupa siri, usiku wa leo njoo Kona Bar Kijitonyama Afrika Sana
Hivi kumpenda mtu ni mpaka mpeane? Ninavyofahamu mimi ni kuwa upendo hujengeka kwanza kwa kutegemea vitu fulani fulani na kupeana huja kutimiliza furaha ya upendo. Kupeana sidhani kama ni dalili hasa ya kupenda kwa watu wanaoanza mahusiano ...!
We jidanganye tu. Kupeana hurutubisha mahusiano kwa kiasi kikubwa sana.
Msikremu mambo jamani, mnaharibu sana kama hamjui