Sikumkuna au ni mzoefu?

Sikumkuna au ni mzoefu?

Ungemwambia akupump wewe utoe miguno watu wengine bwana wakubwa Maumbo na Sura akili zao kama jongoo hawaoni mbele, Sasa unapump kwanini usiombe akupump na wewe utoe mguno


Hahaha we jamaa unanichekesha kweli... Yaani anipump na mm uwezo huo sijui kama anao ila kelele ni asili yao sio yetu, naamin hata ww ukipumpiwa hutatoa kelele
 
Uko vizuri kabisa ila ungejua tatizo lako hayo yasingekukuta.

Wanaume wa aina yako wana matatizo sugu yafuatayo.

-akimtokea mwanamke wakati kwa kwenda kwenye game anajiami ujunga huu
a) nina dushe refu
b) mungu kanijaria urefu na body huyu dada leo ntamomesha

- ukasahau kuwa wanawake wana sifa kuu nne
a) kuna mwanamke unatembea na wewe basi tu hili mradi siku ipite
b) anatembea na mwanaume kumaliza upweke
c) anatembea na mwanaume kimaslai ila hakuna upendo
d)anatembea na mwanaume kwa sababu anampenda kutoka moyoni

- sasa wewe hapo juu uko wapi? Umesema huna kibamia ilo ndo limekudanganya?

- je huo ubahili wako ulitegemea atoe wapi miguno kwa lipi ulomfanyia?

-mkiwa kwenye game anawez kuvuta hisia kitu chochote kutoka kwako ili haweze kutoa ushirikiano wa vilio hata kama ni vya kinafiki??

Nb kugegeda sana sio kuzaa mapacha jiongeze
Uko sahihi kabisa.
 
IMG_1489135652.630471.jpg
 
wengine wanga aisee isije ukawa ulikuwa unakuna fisi yeye yupo pembeni anaangalia unavyokukuruka
 
Back
Top Bottom