Sikulazimishi uwamini Ngoma iko ivi!!

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
Hili naomba kila mwanajukwaa akae nalo mm Mgombea wangu na ninae muombea Kura ni FREDRICK MASOLWA

Lakini
Rais wa Tff ni
Wales Karia
Makamu Mtemi RAMAZANI
Katibu wa Tff ni Ally mayai

Nimemaliza
 
Ina maana Mayai ameomba nafasi ya ukatibu? Mbona kwa taratibu za FIFA katibu ni mwajiriwa na sio mgombea?
 
Ina maana Mayai ameomba nafasi ya ukatibu? Mbona kwa taratibu za FIFA katibu ni mwajiriwa na sio mgombea?
Hatashinda na
Uchaguzi ukiisha kitatumika kigezo cha kuomba Ajira na yeye ataomba Na jina lake litatangazwa hilo kaka Uchaguzi umeshaisha watu wanaenda kukamilisha tu Ratiba!!
 
Back
Top Bottom