Dead chicken????
Hata siku moja siagizi chips kuku, maana niliona custom jetty jamaa kapewa kuku kafa akatupe kakata kona ya kwanza ya pili anamuomba muuza machungwa kisu ati amuwahi, mkono mmoja kamkumbatia wa pili kanyanyua kichwa cha kuku huku anasema "nipeni kisu jamani nimuwahi" alipoulizwa umuwahi nini wakati kafa huyoooo akaondoka kurudi anasema kisha muuza kwa wauza chips. Tokea hapo siwaamini hawa wauza chips kuku
Kuku wengi wa dar ni vibudu watu hawajui tuu...! Has a wale wanaouzwa kwenye vibanda vya chips, kwenye mabar na mahotel na wanaouzwa njiani nyakati za jioni