Sikukuu ya mashujaa Mozambique

Sikukuu ya mashujaa Mozambique

mozambique

Senior Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
101
Reaction score
15
Leo tarehe 3 mwezi WA pili(2) nchini Mozambique tunasherehekea sikukuu ya mashujaa,na tunakumbuka mauaji ya aliyekuwa muasisi wa frelimo hayati eduardo mondlane,tunawapongeza mashujaa wetu wote.
A luta contra pobresa continua
 
Heshima iende kwa mtu mweusi popote duniani, aliyejitolea uhai wake kwa amani, ustawi na heshima ya mweusi mwenzake.
Nikiwatakia kumbukumbu njema ya mashujaa wetu.

Salaam.
 
nawatakia sherehe njema.endeleeni kudumisha amani juzi juzi nilisikia mnataka kuanza kupigana hebu acheni.
 
nimefarijika sana baada ya kusikia maneno yenye hekima.
 
nawatakia sherehe njema.endeleeni kudumisha amani juzi juzi nilisikia mnataka kuanza kupigana hebu acheni.

ni kweli kaka Huyu jamaa(dhlakama) na uroho wake WA madaraka anaitia hssara serikali na kupoteza maisha ya raia wasio na hatia na huyu rais WA sasa(guebuza) anataka kuiacha nchi isitawalike.
 
Kinachonisikitisha ni kwamba vijana wa Mozambique hawaijui hata Tanzania. Hawajui Dar es salaam iko wapi! Kuna haja ya viongozi wa nchi hiyo kuwafundisha vijana wao historia ya ukombozi wa nchi yao na kuwaeleza kwamba watanzania wengi walitoa uhai wao na mali zao kwa ajili ya ukombozi.
 
Ni kweli kabisa kaka,ingawa shuleni tunafundishwa kuhusu historia ya frelimo ya kwamba ilizaliwa tz,lkn walio wengi hawalijui hilo,hivi sasa Kuna vuguvugu la urais mwaka huu ambapo majina matatu ya watakaogombania urais hawajapitia tz,sasa wale ambao wamepigana vita wanapinga suala hilo wanataka mgombea lazima awe kapitia tz.
 
Gebuza ni nyanga'au kabisa. Yeye anachofikiria ni kujilimbikizia mali tu. Hana habari na amani wala mstakabali wa nchi.
 
Somos Uma patria de herois porque temos honra e valorizamos a honra,hoje honramos homens e mulheres Para consentiram sacrificio a propria Vida,homens que se empenharam na busca da dignidade Para todos os mocambicanos,eh obrigacao de todo cidadao a indicar quem deve ser condecorado. Proclamamos perante qualquer desafio: o Partia vamos vencer. Feliz 03 de fevereiro,um abraco do teu General.
Viva frelimo.
Viva mocambique.
Viva Africa.
A luta contra pobresa continua.
Nalog off
 
ni kweli kabisa kaka,Huyu jamaa(guebuza) hata machel alikuwa hamuamini ILA ndio hivyo tena akatumia mihela yake na kuingia ikulu
 
Somos Uma patria de herois porque temos honra e valorizamos a honra,hoje honramos homens e mulheres Para consentiram sacrificio a propria Vida,homens que se empenharam na busca da dignidade Para todos os mocambicanos,eh obrigacao de todo cidadao a indicar quem deve ser condecorado. Proclamamos perante qualquer desafio: o Partia vamos vencer. Feliz 03 de fevereiro,um abraco do teu General.
Viva frelimo.
Viva mocambique.
Viva Africa.
A luta contra pobresa continua.
Nalog off
que coisa mais linda,afinal de conta voce eh mocambicano? Na verdade ontem foi um dia maravilhoso Para o povo mocambicano,vimos os nossos herois que sacrificaram a propria Vida,tenho orgulho de ser mocambicano.
Aquele abraco.
Viva frelimo
Viva mocambique
salve Africa..

Nimefarijika sana unakijua kiswahili barabara.
Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Viva Frelimo. viva Samora. Viva Msumbiji. Nakumbuka jina Lorenzo Marquiz!?
 
Ni kweli kabisa kaka afrika ni moja ILA wazungu wameigawa bila kutushirikisha,katika jimbo la cabo Delgado kiswahili tunakiongea.
Nalikumbuka hilo jina sasa hivi panaitwa Maputo.
 
Kuna mda huwa najikuta nafurahi kukutana na thread ambazo wachangiaji wanajitambua na kuutambua uafrika wao na kuutukuza pia

Mkitaja majina kama frelimo huku iringa mkoa ulioko kusini mwa tanzania ni jina la mtaa....mkitaja frelimo huku iringa ni uwanja maarufu wa mpira....hii yote ni kumbukumbu ya ujio wa samora michael hapa iringa.....tetesi zinasema ujiowake ulikuwa ni kumfuata na kumshawishi major general luhanga aje Mozambique kufanya kazi naye
 
Ni kweli kabisa kaka,ingawa shuleni tunafundishwa kuhusu historia ya frelimo ya kwamba ilizaliwa tz,lkn walio wengi hawalijui hilo,hivi sasa Kuna vuguvugu la urais mwaka huu ambapo majina matatu ya watakaogombania urais hawajapitia tz,sasa wale ambao wamepigana vita wanapinga suala hilo wanataka mgombea lazima awe kapitia tz.
Sio uwezo wa utawala - bali kuptia TZ - nadhani hiki kigezo hakina maana. Msumbiji imeishakuwa huru na wale waliopigana mchango wao hautasahaulika lakini nchi lazima isonge mbele na inataka kingozi smart hasa kwa mambo ya uchumi
 
Nmeona kwenye wikipedia hawa jamaa walitusaidia batalion moja ya jeshi kwenye KAGERA WAR..
 
Back
Top Bottom