Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,700
- 1,853
Kwa jinsi tunavyoenda Msumbiji siku moja itatupita. Pia siridhiki na sera za JK za kuimarisha uhusiano zaidi na Wazungu kuliko Waafrka. Huyu jamaa vipi? Alishawahi kutembelea Msumbiji hata mara mbili? London na New York/Washington nadhani keshakwenda mara 10 kila moja!