Sikukuu ya IDD kubwa ni siku mbili au moja KISERIKALI?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Naombeni kujuzwa jaman.Kuna mtu kaniambia jumatatu ni kazi kama kawaida.je ni kweli?
 
Dah mimi nilikuwa najua ni siku 2 jaman.p.didy aliyesema siku3 ni nani bwana?
 
Sikukuu ya eid inaangukia hadi jumatatu hivo, jumatatu ni eid pili

mbona mnanichanganya?kwa hiyo sikuku inaendelea mpaka kesho?ina mana hakuna kazi kesho?bado mwanichanganya jamani.
 
Back
Top Bottom