Sikukuu ya Idd 2014 ni lini?

Sikukuu ya Idd 2014 ni lini?

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
824
Reaction score
161
naomba kuuliza wakuu anayefaham sikukuu ya ID ni lini? anijulishe asanteni sana
 
Napenda kuwapongeza waislamu wote kwa uvumilivu wakati wa kipindi hichi kigumu cha mfungo. Karibuni tena kwenye uzinzi. ulevi na ulaji wa ktmt kwa kujificha. kwa huku Kimara mnajiachia sana. mabei ya gesti ni yale yale ila NATOA ANGALIZO BEI YA BIA IMEPANDA. SASA HIVI BIA NI 2500 KWA KIMARA NA 2200 KWA MANZESE.
 
Huo ni utabiri feki wa sheikh Yahaya. Ukienda kule jukwaa la siasa utashangaa zaidi kuona akina Msalani, Lizaboni, Faizafoxy, simiyu yetu, mwana diwani na wengine unaweza tabiri kuwa ni the same kwa pumba zao zinavofanana. Sisi tunafanana mitizamo yetu thabiti sio pumba.

Sawa sawa, lakini mdini sana wewe!
 
Sawa sawa, lakini mdini sana wewe!

Mkuu mi sio mdini sana ila hawa jamaa wanajifanya wanajua sana kukejeli dini za wenzao ndo maana mi naenda nao sawa siwaachii hata nafasi nawabana mbavu kisawasawa mpaka wanasahau mfungo wanaanza kutukana ovyo ishara ya kushindwa ligi.
 
Ndugu,
U wapi uelewa,busara na uvumilivu wako.
Kwanini utukane na upandishe jazba wakti wajua kabisa kuwa sio watu wote wenye kufafana kimitizamo!?
Onesha ukomavu wako kifikra pale unapokuwa katika angry emotions, utaokoa mengi.!
Nakutakia Idd njema.

Be blessed. .
 
Mkuu mi sio mdini sana ila hawa jamaa wanajifanya wanajua sana kukejeli dini za wenzao ndo maana mi naenda nao sawa siwaachii hata nafasi nawabana mbavu kisawasawa mpaka wanasahau mfungo wanaanza kutukana ovyo ishara ya kushindwa ligi.

Haya bana kama umechokozwa!
 
astagafulih yan mitusi yote bado una swaumu tuu khaa mkuu leo unashnda na njaa hlo dubwana ulilo taja ni kubwa mno

subiri jioni ifike ndo utajua kama kweli alifunga au alishinda na njaa!!
 
naomba kuuliza wakuu anayefaham sikukuu ya ID ni lini? anijulishe asanteni sana

Inaweza kuwa kesho Jumatatu, lakinibJumanne ni lazima kwani siku 30 za kufunga kwa waliowengi ni kesho, na hairuhusiwi kuzidisha siku30 kwa Sheria za Kiislam.
 
Back
Top Bottom