Sikujua kwanini vibwengo walinikimbia siku ile

mfate42

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
3,769
4,260
Habarini za wikiendi ndugu zangu.

Wakubwa shikamoni; wadogo marahaba, na wale tunaolingana, mambo vipi?

Stori inaanzia hapa:

Mwaka 2006 nilipata nafasi ya kujiunga na kidato cha tano shule ya Same Sec. Stori nlizozikuta nyingi zilikuwa Ni za mauza uza ya vibwengo na majini mahaba. Kuna wakati tulienda likizo tuliporudi wenzetu wachache ambao hawakwenda likizo, wakatupa mikasa iliyowapata, walituhadithia jinsi vibwengo vilivyowasumbua nyakati za usiku kwa kuwavuta mashuka waliyojifunika na pia kumwagiwa maji.

Baada ya miez kadhaa, nikaenda kumtembelea anti yangu. Anti yangu alikuwa anaishi maeneo ya Kiwanja, mbele kidogo ya Gereza la Same. Siku hiyo ya Jumapili baada ya mazungumzo na anti yangu nikaamua kuondoka mida ya saa kumi na mbili jioni, jua lilikuwa limeanza kupotea. Nikatembea kwa miguu kupitia njia ile ile niliyojia.

Nlipokaribia geti la shule, kwa mbali nikaona watu wawili wanakuja upande wangu wakitokea maeneo ya shule. Sikuweza kuwatambua kwa haraka maana giza lilikuwa limeshaanza kuingia,.ila nliweza kuwatambua vimo (urefu) wao. Walikuwa ni wafupi mno wakiwa wamevalia misuli na kofia mithili ya bakhrashia. Nikajiuliza hawa watoto wanaelekea wapi usiku huu, na mbna ni mapacha, maana wanafanana kila kitu kuanzi staili ya mavazi.

Tulipokaribiana nikaanza kuingiwa na woga, nywele zikanisimama wima mithili ya mtu aliemuona jini. Cha ajabu wakanipisha nipite katikati yao. Kwakweli nlitamani nirud nlipotoka ila ilikuwa too late. Nikajitutumua huku moyo ukiwa unadunda kwa kasi sana. Baada ya kupishana nikaamua nigeuke nyuma niwaangalie tena kwamba je ni binadamu au ilikuwa ni misikule, maana mwili wote ulikufa ganzi.

Ile nageuka tu na wenyewe wakageuka tukakutanisha macho kwa pamoja. Aisee walikimbia kwa speed. Hapo ndiyo nlipogundua kuwa hawakuwa watu wa kawaida, na nligundua kuwa hawakujua kama niliwaona tangia mwanzo tunapishana, na walipokuwa wanakimbia nilizisikia kelele za vitu walivyoshika kama masufuria ambayo yalikuwa yakigongana na kutoa milio ya mithili ya kengele ya ya ng'ombe.

Nlipofika shuleni nikawasimulia wenzangu yaliyonikuta. Wale jamaa tuliowaacha kipindi tunaenda likizo walicheka sana, wakaniambia hivyo ndiyo vibwengo vilivyotusumbua, na una bahati sana hawajakuzingua. Aaisee baada ya maneno yale nliogopa sana, nikajiuliza maswali mengi kwanini vibwengo vilinikimbia siku ile badala ya mimi niwakimbie wao.

Endelea kubaki na mimi nikupe kisa cha jini mahaba aliengia bwenini wakati watu wengine wakiwa wamelala fofofo isipokuwa mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tu tuendelee kubaki na wewe kusubiri part 2 ya jini mahaba?
 
Kwa nini mtu anaanzisha uzi na kuonesha kama ana nia ya kuendeleza wakati hana? Mods muanze utaratibu wa kuzifuta.
 
Back
Top Bottom