Halafu wewe nishakuweka kwenye darubini kuanzia sasa!!!:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Uwiiiii!
Mbavu zangu mie!
...
Ngoja feminist waje, kama hawatasema kinyume chake ni zaidi hilo litabu!
Si unajua tena mfa maji!
Halafu wewe nishakuweka kwenye darubini kuanzia sasa!!!:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
hicho kitabu mbona kukomoana!!!
hata usome bila kuelewa HAUMALIZI......!!!
bora ulie tu!!!Khaaa!
Kwanini tena best?????
Ntalia mie!!!!
Dah! Ukitaka kuwajua lazima uchanganyikiwe kwa kweli!
Hatimaye kitabu cha kuwajua chaingia madukani!
bora ulie tu!!!
Du yu made my day, eti hata some bila kuelewa hukimalizi. What if ukisoma in your life time, sema 70 years, huwezi kufika hata nusu kweli?