Sikujua kama wenje ni kivuli kabisa...

Sikujua kama wenje ni kivuli kabisa...

yaani wewe ninavyokuchukia wewe! WEWE JINGA LA KWANZA PUMBAFU ZAKO!
mkubwa haina haja ya kumchukia na kumtukana kama sio kwel alilosema ni kumthibitishia ndio waungwana tunavyofamya na kama ni ukwel alioongea basi huna budi kujifunza kuukubal japo kuwa unauma. Sio kila cku mnataka kusikia mazuri yao upande wa mapungufu hamtaki kuckiliza mtajifunzaje jaman.
 
ila nikweli wenje amebadilika sana japo si vema kujadili maisha ya watu,achilia mbali kufngua duka la madawa dar na kumpa mke wake,ana wakusanya vijana mchana eti wanacheza mpiri siku za kazi kila wiki pale buhongwa kutwa wamejaa badala ya kuwashauri wafanye kazi anawanunulia kahawa na kula nao.ni vema aachane na dhana ya kuwateka wananchi kwa kuwapa soda,sigara na sare alete maendeleo
 
Mtu mwenye uzoefu wa cyber space na social network atajua huu ni mkakati wako wakumchoonganisha mbunge na wapiga kura wake kwa hiyo ukiwa mbunge ,huduma za kumshirikisha mkeo kwenye miradi ya familia inakoma,hebu tueleza Salma Kikwete alivyojigeuza UWT na kushika kampeni za mumewe
 
mrema jiangalie sana, sio mimi niliyekufelisha chuo, ulidisco na sasa umekaa kupiga umbea hapo makao makuu na kura zako 2000 za ubunge..tuheshimiane sana.
Kimekuingia sawasawa mpaka umeshtuka!! Kumbe chuki binafsi tu hebu tupe vya maana tujadili.
 
Wenje yupo Dar na familia yake , wanakaa Mbezi Beach. Wana mwanza mmeliwa , ndio tatizo la kuchagua watu msio wajua na macheki bob
wabunge wangapi wanaishi dar? mbona wengi tu wa magamba wanaishi dar na majimbo yao yapo mikoani? 6, magufuli, maige nk wako dar na sio tatizo, tafuta tatizo la msingi ndio ulifanyie kazi lakini sio mahali pa kuishi
 
ila nikweli wenje amebadilika sana japo si vema kujadili maisha ya watu,achilia mbali kufngua duka la madawa dar na kumpa mke wake,ana wakusanya vijana mchana eti wanacheza mpiri siku za kazi kila wiki pale buhongwa kutwa wamejaa badala ya kuwashauri wafanye kazi anawanunulia kahawa na kula nao.ni vema aachane na dhana ya kuwateka wananchi kwa kuwapa soda,sigara na sare alete maendeleo
Inauma eeh?
 
Back
Top Bottom