Sikujua kabla, nilikuwa nabisha huku sijui ninachobishania

Mtatumia style zote,kuhalalisha huu mkataba lakini nyeupe itabaki kuwa nyeupe na nyeusi kuwa nyeusi,kama ni kweli kwanini kuna legal dynamics katika huu mkataba na supporters ni ruling class na wanaopinga ni watawaliwa wenye uelewa mpana katika wigo washeria ,maprofesa na madokta ,
Isome vizuri Article 30 ya IGA utaona kuwa mabadiliko yanaruhusiwa ili kupata stablelization kwa Nchi zote mbili
 
Naogopa kusema Mh Adv Mwakabusi alikosea.

Binafsi sikupata muda wa kuusoma huo mkataba ila nilizisoma Arguments za Adv Mwakabusi na niliona zinamashiko sana.

But nimepata muda nimeusoma huu mkataba kati ya Serikali ya Falme za Kiarabu ya Dubai na ambao wanaitwa "State parties" ndani ya mkataba huu ,Nimegundua mkataba upo vizuri wala hauna shaka lolote bali Tatizo ni kutokuwa na Utaalamu wa kuielewa Mikataba ya Kimataifa.

Mkataba huu (Intergoverment Agreement (IGA) between Emirate of Dubai and Tanzania) Umeundwa chini ya Maelekezo ya mikataba mingi ya kimataifa ya VIENNA CONVETION OF 1963 (Downlod That convetion)

Kwa kiswahili waweza kuita Makubaliano pia waweza ita Mkataba , Hii ni sababu za ki Lugha tu ila maana ni moja( Soma kwa umakini )

•Intergovernmental Agreements (IGA)
• Contracts
• Declarations
• Normal Agreement
Kila tajwa hapo juu kina maana yake na taratibu zake za kisheria na Enforcement pia.
Kwa upande wa Intergovernmental Agreements (IGA) hauna maana kama ni mkataba kamili, Bali ni makubaliano ya kushirikiana kiuchumi baina ya Nchi mbili ,

IGA inatoa maelekezo ,na Obligations za Nchi zote mbili ili kuwa na mnyororo mzuri wa ushirikiano wa kiuchimi Ndani ya Misingi ya Sheria ili kulinda Interest za Nchi zote mbili, Hivo huwezi kusema ni mkataba kamili, Ila Ndani yake inatoa fursa za kuingua kwenye mikataba halisia kama HGA na Project Agreements PA,
Soma "Article 2 of IGA" , Inaeleze Malengo ya Mkataba huo

1. Je Tanzania imeingia mkataba wa makubaliano na Nchi gani na kwa Sheria ipi?
Tanzania imeingia mkataba na Dubai ni nchi moja wapo kati ya Nchi saba za Falme za Kiarabu na Kwa mujibu wa CONSTITUTION OF United EMIRATE OF ARAB'S , Ibara 120 na 123 ,inatoa mamlaka ya nchi hizo za Falme ya Kiarabu kuingia mikataba ya Kiuchumi kati yao na Nchi jirani au Rafiki.

2. Je Nikweli tumekabidhisha maeneo yote ya Bandari za Tanzania?

Kwa mujibu wa Article 5(1) of IGA inayoelekeza usome (Appendix 1) ndani ya IGA
Imeonyesha maeneo Saba 7 ya ushirikiano na ni yapi, Kama ifuatavyo:-
a.Gati No 0 RoRo
b.Gati No 1-4
c.Gati No 5-7
nk
Na hayo sio maeneo yote yat Bandari za Tanzania hivyo yapo maeneo ambayo yapo chini ya mamlaka ya Tanzania na Hayako kwenye IGA , Kwa mfano
a.Gati No 8-11
b.Gati za bandari za Bagamoyo
c. Gati zinazojengwa 12-15
Hii inatoa taswira kwamba sio bandari zote ,bali ukoseaji wa tafsiri ya Neno Territory lilivotumika kwenye mkataba. Uhalisia maeneo ya Ushirikiano yapo kwenye APPENDIX 1 OF IGA.

3. Je, TPA mamlaka ya Bandari ya Tanzania itakuwa haina Kazi tena?
Ukisoma Article 5(1) na UAppendex 1 ya IGA ,utaona jinsi TPA bado inamajukumu na itapewa ushirikiano wa kutosha na DPW kama vile ,Kupewa ujizi na teknolojia , Ku organise , Ku operate na Kuweza Ku manage Bandari zao kwa viwango va Kimataifa.

4. USULUHISHI
Hili ndo eneo pana na muhimu ambalo mkataba huu wa makubaliano ya kushirikiana ume fanya vizuri

Kwa mujibu wa Article 21 ya IGA inasema HGA na PA zote , Itakapotokea migogoro wa aina yoyote ,zitatumia sheria za Ndani za TZ, Chini ya Kamati ya IGA na Waziri mkuu wa Tanzania.

Mgogoro utakanao na IGA yenyewe utatumia English Laws na Hii imeelezwa hata kwenye Vienna Convention of 1963, na Vennue ya suluhu hiyo lazima Iwe Sourth Africa na sio Nje ya Africa na hii inatumika kama Neutral party.

5. Je mkataba huu una Ukomo?
Mkataba wa makubaliano hauna Ukomo kwani haya ni makubaliano ya kushirikiana tu , hivyo hata ukikaa milele hauna Effect yoyote kwetu wala kwao. japo unaweza ku expiry In 12 Months kama hakuna HGA wala PA inayo link state parties , Soma Article 5(4) of IGA

Ila HGA na PA ,Ambayo hii ni mikataba yenyewe hii ina ukomo kulingana na makubaliano ya state parties na kama yeyote atavunja kipengele chochote cha makubaliano( Breach any Terms of Contract) Atawajibika na ina wapa haki Upande walio onewa/ umia kuufanya mkataba kama Repudiated contact au Kudai fidia kwa hasara zitakazokuwa zimejitokeza, Inatoa picha kwamba kwa upande wa mikataba halisia HGA na Project Agreement PA inafuata taratibu za kawaida za mikataba na Tanzania wanaweza ku discharge any time if there is Breach occured.

6. Je nilazima tuwape DPW maeneo yote ya Bandari?
Article 5(2)&(3) na 4(2) ,zinatoa utaratibu wa kupeana HGA na PA baina ya nchi hizi mbili, Nao ni

a. Dubai shall show interest in a ports mentioned in Appendix 1 phase 1 of IGA.

b. Make proposal of that interest.

c. Submitt proposal to Tanzania for consideration and Signatory

Hivyo kama tTanzania haijaridhia hailazimishwi kumpa DPW bali inalazimishwa kumwambia tu. That is my viewz na vyote nimetoa ndani ya Mkataba , Tuepuke kukubali ku bisha na kupinga hata kwenye vitu amabavyo tujasoma au hatuvielewi.
Tusiende mbali,tuonyeshe huyu DP world alipatikanaje kwanza?

Ni lini tenda ilitangazwa na makampuni mangapi yalijitokeza mpaka akashinda yeye?
 
Pumbavu
 
Ndio maana tunaangukia pua huko mahakama za kimataifa. Unadhani kwanini hao DPW wanataka kulindwa na IGA??
 
Wenzako humu walianzisha mpaka hashtag wakaleta mkataba mpaka kwa lugha ya kiswahili still walifeli 🤣🤣jikite hapo 👇👇👇
 
Attachments

  • 1687761662681.jpeg
    1687761662681.jpeg
    182.2 KB · Views: 3
Jtano kuna mwanaccm mmoja kupitia bbc alikubali mkataba unashida je mm ninanisikubaliane nae
 
Kwamba wanasheria wote walio sema mkataba huo ni mbovu, hawana wanacho jua?!?!
Hizi taka hua zinatoka wapi aisee!
 
5. Je mkataba huu una Ukomo?
Mkataba wa makubaliano hauna Ukomo kwani haya ni makubaliano ya kushirikiana tu , hivyo hata ukikaa milele hauna Effect yoyote kwetu wala kwao. japo unaweza ku expiry In 12 Months kama hakuna HGA wala PA inayo link state parties , Soma Article 5(4) of IGA
Umeandika vizuri sana ila naomba nichangie kwenye mojawapo ya hoja ulizozitoa kwenye bandiko lako hili

Si kwamba mkataba wa makubaliano, hauna ukomo.
Ukomo upo ila haulazimiki kutajwa kwenye makubaliano kwa sababu ukomo huo utakuja kuwa unatajwa kwenye kila mkataba wa kiutendaji.

Nchi hii tumeshavamiwa na mamluki ambao wapo kwa ajili ya kuwachanganya wanachi wasiokuwa na uelewa. Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri na ubarkiwe sana
 
Nasikitika kwakukubali kuwa Dubai ni State! Hapa tu umenifanya nisiendelee ata kusoma ulichoaandika.
Soma Katiba Ya nchi za Falme za Kiarabu , Article 120 na Article 123 , Alafu utapata majibu.

Boss kwani Sisi Tanzania Bara na Zanzibar tupoje? . Mana ipo mikataba ambayo Zanzibar imeingia na Bank ya Dunia na Makampuni binafsi wao wenyew kama nchi.

Au Zanzibar na sisi tunashirikiana kila kitu Kiuchumi?

Kama umewahi kwenda Dubai ulikata VISA ya Falme za Kiarabu au Ya Dubai kama nchi? 😅🖐️⚓
 
Naogopa kusema Mh Adv Mwakabusi alikosea.

Binafsi sikupata muda wa kuusoma huo mkataba ila nilizisoma Arguments za Adv Mwakabusi na niliona zinamashiko sana.

But nimepata muda nimeusoma huu mkataba kati ya Serikali ya Falme za Kiarabu ya Dubai na ambao wanaitwa "State parties" ndani ya mkataba huu ,Nimegundua mkataba upo vizuri wala hauna shaka lolote bali Tatizo ni kutokuwa na Utaalamu wa kuielewa Mikataba ya Kimataifa.

Mkataba huu (Intergoverment Agreement (IGA) between Emirate of Dubai and Tanzania) Umeundwa chini ya Maelekezo ya mikataba mingi ya kimataifa ya VIENNA CONVETION OF 1963 (Downlod That convetion)

Kwa kiswahili waweza kuita Makubaliano pia waweza ita Mkataba , Hii ni sababu za ki Lugha tu ila maana ni moja( Soma kwa umakini )

•Intergovernmental Agreements (IGA)
• Contracts
• Declarations
• Normal Agreement
Kila tajwa hapo juu kina maana yake na taratibu zake za kisheria na Enforcement pia.
Kwa upande wa Intergovernmental Agreements (IGA) hauna maana kama ni mkataba kamili, Bali ni makubaliano ya kushirikiana kiuchumi baina ya Nchi mbili ,

IGA inatoa maelekezo ,na Obligations za Nchi zote mbili ili kuwa na mnyororo mzuri wa ushirikiano wa kiuchimi Ndani ya Misingi ya Sheria ili kulinda Interest za Nchi zote mbili, Hivo huwezi kusema ni mkataba kamili, Ila Ndani yake inatoa fursa za kuingua kwenye mikataba halisia kama HGA na Project Agreements PA,
Soma "Article 2 of IGA" , Inaeleze Malengo ya Mkataba huo

1. Je Tanzania imeingia mkataba wa makubaliano na Nchi gani na kwa Sheria ipi?
Tanzania imeingia mkataba na Dubai ni nchi moja wapo kati ya Nchi saba za Falme za Kiarabu na Kwa mujibu wa CONSTITUTION OF United EMIRATE OF ARAB'S , Ibara 120 na 123 ,inatoa mamlaka ya nchi hizo za Falme ya Kiarabu kuingia mikataba ya Kiuchumi kati yao na Nchi jirani au Rafiki.

2. Je Nikweli tumekabidhisha maeneo yote ya Bandari za Tanzania?

Kwa mujibu wa Article 5(1) of IGA inayoelekeza usome (Appendix 1) ndani ya IGA
Imeonyesha maeneo Saba 7 ya ushirikiano na ni yapi, Kama ifuatavyo:-
a.Gati No 0 RoRo
b.Gati No 1-4
c.Gati No 5-7
nk
Na hayo sio maeneo yote yat Bandari za Tanzania hivyo yapo maeneo ambayo yapo chini ya mamlaka ya Tanzania na Hayako kwenye IGA , Kwa mfano
a.Gati No 8-11
b.Gati za bandari za Bagamoyo
c. Gati zinazojengwa 12-15
Hii inatoa taswira kwamba sio bandari zote ,bali ukoseaji wa tafsiri ya Neno Territory lilivotumika kwenye mkataba. Uhalisia maeneo ya Ushirikiano yapo kwenye APPENDIX 1 OF IGA.

3. Je, TPA mamlaka ya Bandari ya Tanzania itakuwa haina Kazi tena?
Ukisoma Article 5(1) na UAppendex 1 ya IGA ,utaona jinsi TPA bado inamajukumu na itapewa ushirikiano wa kutosha na DPW kama vile ,Kupewa ujizi na teknolojia , Ku organise , Ku operate na Kuweza Ku manage Bandari zao kwa viwango va Kimataifa.

4. USULUHISHI
Hili ndo eneo pana na muhimu ambalo mkataba huu wa makubaliano ya kushirikiana ume fanya vizuri

Kwa mujibu wa Article 21 ya IGA inasema HGA na PA zote , Itakapotokea migogoro wa aina yoyote ,zitatumia sheria za Ndani za TZ, Chini ya Kamati ya IGA na Waziri mkuu wa Tanzania.

Mgogoro utakanao na IGA yenyewe utatumia English Laws na Hii imeelezwa hata kwenye Vienna Convention of 1963, na Vennue ya suluhu hiyo lazima Iwe Sourth Africa na sio Nje ya Africa na hii inatumika kama Neutral party.

5. Je mkataba huu una Ukomo?
Mkataba wa makubaliano hauna Ukomo kwani haya ni makubaliano ya kushirikiana tu , hivyo hata ukikaa milele hauna Effect yoyote kwetu wala kwao. japo unaweza ku expiry In 12 Months kama hakuna HGA wala PA inayo link state parties , Soma Article 5(4) of IGA

Ila HGA na PA ,Ambayo hii ni mikataba yenyewe hii ina ukomo kulingana na makubaliano ya state parties na kama yeyote atavunja kipengele chochote cha makubaliano( Breach any Terms of Contract) Atawajibika na ina wapa haki Upande walio onewa/ umia kuufanya mkataba kama Repudiated contact au Kudai fidia kwa hasara zitakazokuwa zimejitokeza, Inatoa picha kwamba kwa upande wa mikataba halisia HGA na Project Agreement PA inafuata taratibu za kawaida za mikataba na Tanzania wanaweza ku discharge any time if there is Breach occured.

6. Je nilazima tuwape DPW maeneo yote ya Bandari?
Article 5(2)&(3) na 4(2) ,zinatoa utaratibu wa kupeana HGA na PA baina ya nchi hizi mbili, Nao ni

a. Dubai shall show interest in a ports mentioned in Appendix 1 phase 1 of IGA.

b. Make proposal of that interest.

c. Submitt proposal to Tanzania for consideration and Signatory

Hivyo kama tTanzania haijaridhia hailazimishwi kumpa DPW bali inalazimishwa kumwambia tu. That is my viewz na vyote nimetoa ndani ya Mkataba , Tuepuke kukubali ku bisha na kupinga hata kwenye vitu amabavyo tujasoma au hatuvielewi.
Umetumwa.
 
Professional rubbish.
Ndio shida yetu watanzania. Ukipewa hoja tofauti na kile unaamini wewe, unakimbilia kwenye kejeli na matusi umeishia hapo. Kama umeona ni rubish, thibitisha ni kwa namna gani? Yeye ameweke na ushahidi wa vifungu, je wewe ukiachia makalio yako, umeweka nini kuthibitisha alichokisema kuwa ni upuuzi?
 
Back
Top Bottom