Sikujua hata Ulaya kuna wajinga na wafuata mkumbo wa kisiasa!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,976
Kilichotokea juzi kimenifumbua macho na kunipa elimu zaidi kuhusu watanzania wanaoishi ughaibuni.

Ninakumbuka tulichekwa sana baada ya aliyekuwa anajiita Mchungaji Kibweterere kuwafungia waumini wake ndani ya kanisa na kulichoma moto kwa madai kuwa umefika wakati wao wa kwenda mbinguni!

Nilikuwa ninafahamu kuwa vigezo vya watanzania wengi kwenda Ulaya ni elimu. Kwa maana nyingine wameelimika!

Nilikuwa ninadhani wajinga na wafuata mkumbo wanapatika katika ukanda huu pekee lakini vipererushi walivyokuwa wamebeba wafuasi wa Mange Kimambi huko Ulaya kilinifundisha mengi.

Fikiria mtu amebeba bango lililoandikwa "Rais Magufuli amemuua Mwangosi". Rais Magufuli na kifo cha Mwangosi wapi na wapi?

Ninaweza kumsamehe na kumpa ''benefit of doubt'' kuhusu Rais Magufuli kumuua Ben Saanane kwa sababu sifahamu Ben saanane alipo. Inawezekana yeye ''anafahamu vizuri''!

Inafahamika kuwa Mwangosi aliuwawa wakati wa Utawala wa Rais Kikwete lakini kwa vile mbeba bango ni mjinga au hajui hata historia ya matukio ya kisiasa nchini alijikuta akifuata mkumbo au alibeba bango bila hata kujua kilichoandikwa kwenye bango.

Mtu kama huyu aliyebeba bango unajiuliza kama hata alijua kwa nini yuko kwenye maandamano.

Kila siku tunasikia watu wanaoishi ulaya wakituambia "make an intelligent informed decision before taking action''.

Kuna wengine hata kuimba wimbo wa taifa hawajui lakini walikuwa wanadai ni Watanzania wazalendo wanaolipigania taifa.

Kumbe hata Ulaya kuna wajinga na wafuata mkumbo!

IMG_0755.JPG
 
Kilichotokea juzi kimenifumbua macho na kunipa elimu zaidi kuhusu watanzania wanaoishi ughaibuni.

Ninakumbuka tulichekwa sana baada ya aliyekuwa anajiita Mchungaji Kibweterere kuwafungia waumini wake ndani ya kanisa na kulichoma moto kwa madai kuwa umefika wakati wao wa kwenda mbinguni!

Nilikuwa ninafahamu kuwa vigezo vya watanzania wengi kwenda Ulaya ni elimu. Kwa maana nyingine wameelimika!

Nilikuwa ninadhani wajinga na wafuata mkumbo wanapatika katika ukanda huu pekee lakini vipererushi walivyokuwa wamebeba wafuasi wa Mange Kimambi huko Ulaya kilinifundisha mengi.

Fikiria mtu amebeba bango lililoandikwa "Rais Magufuli amemuua Mwangosi"

Rais Magufuli na Mwangosi wapi na wapi?

Inafahamika kuwa Mwangosi aliuwawa wakati wa Utawala wa Rais Kikwete lakini kwa vile mbeba bango ni mjinga au hajui hata historia ya matukio ya kisiasa nchini alijikuta akifuata mkumbo.

Mtu kama huyu aliyebeba bango unajiuliza kama hata alijua kwa nini yuko kwenye maandamano.

Kila siku tunasikia watu wanaoishi ulaya wakituambia "make an intelligent informed decision before taking action''.

Kuna wengine hata kuimba wimbo wa taifa hawajui lakini walikuwa wanadai ni Watanzania wazalendo wanaolipigania taifa.

Kumbe hata Ulaya kuna wajinga na wafuata mkumbo!

View attachment 760793

Kumbe Ben Saanane ameshakufa? Nilikuwa sijui, sasa hao takataka wa chadema wamejuaje kama Ben Saanane ameshakufa?
 
Ukiitaka kujua akili za watz nenda saiti ya ujenzi halafu uliza mmoja mmoja tu,hapa mnafanya nini? Utafurahi na roho yako
1:atajibu kwani huoni kama nabeba tofali.
2:eek:yaaah nitolee kiwingu hapa
3;inamaana hujui kama hii ni zege
4:tunacheza
5:tunatafuta riziki ya tamilia
6:kama huoni pisha bwana
7:panapo majaaliwa atakuambia hapa tunajenga nyumba kwa ajili ya................karibu ujiunge nasi.
Usiombe kufanya kazi usiyojijua faida yake.
 
Hoja yako ina sadifu hoja yangu ya ujinga na ufuata mkumbo!

Inahitaji uelewa wa hali ya juu hapo.

1.Pengine mwenye bango ana ushahidi kuwa Magufuli ndiye alimuua Mwangosi. Kutokuwa Rais wakati huo hakumzuii kuua kama angetaka kufanya hivyo.
2. Au pengine anaulenga mfumo mzima ambao ungalipo tangu kifo cha huyo Mwangosi. Magufuli ni sehemu ya mfumo huu.
 
Hoja zako pia zina sadifu ujinga na ufuata mkumbo kama alichofanya mbeba bango!
 
Kilichotokea juzi kimenifumbua macho na kunipa elimu zaidi kuhusu watanzania wanaoishi ughaibuni.

Ninakumbuka tulichekwa sana baada ya aliyekuwa anajiita Mchungaji Kibweterere kuwafungia waumini wake ndani ya kanisa na kulichoma moto kwa madai kuwa umefika wakati wao wa kwenda mbinguni!

Nilikuwa ninafahamu kuwa vigezo vya watanzania wengi kwenda Ulaya ni elimu. Kwa maana nyingine wameelimika!

Nilikuwa ninadhani wajinga na wafuata mkumbo wanapatika katika ukanda huu pekee lakini vipererushi walivyokuwa wamebeba wafuasi wa Mange Kimambi huko Ulaya kilinifundisha mengi.

Fikiria mtu amebeba bango lililoandikwa "Rais Magufuli amemuua Mwangosi"

Rais Magufuli na kifo cha Mwangosi wapi na wapi?

Inafahamika kuwa Mwangosi aliuwawa wakati wa Utawala wa Rais Kikwete lakini kwa vile mbeba bango ni mjinga au hajui hata historia ya matukio ya kisiasa nchini alijikuta akifuata mkumbo au alibeba bango bila hata kujua kilichoandikwa kwenye bango.

Mtu kama huyu aliyebeba bango unajiuliza kama hata alijua kwa nini yuko kwenye maandamano.

Kila siku tunasikia watu wanaoishi ulaya wakituambia "make an intelligent informed decision before taking action''.

Kuna wengine hata kuimba wimbo wa taifa hawajui lakini walikuwa wanadai ni Watanzania wazalendo wanaolipigania taifa.

Kumbe hata Ulaya kuna wajinga na wafuata mkumbo!

View attachment 760793
Ni yeye ndiyo unakataa nini, ashikwaye na ngozi ndo mwizi....he is killing people this blood lusty fraud dictator!
 
Back
Top Bottom