Sikuhizi kupata wa kufanya nao mapenzi ni rahisi kuliko kupata mpenzi wa kweli

Habari wanandugu,

Hili swala limekithiri kwa sasa mpaka najiuliza shida ni nini hasa yaani unakuta mtu anakufata with confidence kabisa through social media like "habari tunaweza kufanya one night stand? Yaani with confidence kabisa bila kuogopa chochote au unakuta anakutongoza within 4 days anakwambia mkanjunjane, hivi tatizo nini nini hasa?

Kwamba mahusiano yamekua magumu sana siku hizi ndio yanasababisha haya? Watu wanastress za mapenzi wamechoka... Au ni baadhi tu ya watu wameamua kujifyatua akili !!?

NB. Pia, tukumbuke takwimu za maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa sasa zimezidi

SHARE MAONI YAKO
Ukimwi ....kwani unagawa kitumbua bila kupima?
 
Ni dm ig account yAko
 
T
Tabata ipi hio mbona mie niko huku siwaoni mkuu😁
Anzia hapo Next door karibu na depot ya Azam,sogea kidogo ufike hadi kwetu pazuri na uteremke mpaka Toroka uje.. Ukikosa mkuu kaoge na maji ya bahari tena ya kule Jibondo Mafia
 
Haijalishi pesa ila kitendo tu cha kuniambia mimi kama mimi mambo ya one night stand yaani umekurupa tu kama uyoga uko ulipo unaniambia hivyo "KWANGU BINAFSI HAPANA
Tena wenzako mpaka wanavifurushi vya Chuo na cha mwananchi wakawaida.
 
M mpaka sasa najiuliza kwanini tabata malaya wengi sana kuliko sehemu yeyote nchini,yaan asaiv nikikutana na manz akasema anakaa tabata yaan najua ndo wale wale!
 
Nikiwa mkubwa sitaki kufuga ng’ombe, itaninyea bure wakati hitaji langu maziwa tu!
 
Habari wanandugu,

Hili swala limekithiri kwa sasa mpaka najiuliza shida ni nini hasa yaani unakuta mtu anakufata with confidence kabisa through social media like "habari tunaweza kufanya one night stand? Yaani with confidence kabisa bila kuogopa chochote au unakuta anakutongoza within 4 days anakwambia mkanjunjane, hivi tatizo nini nini hasa?

Kwamba mahusiano yamekua magumu sana siku hizi ndio yanasababisha haya? Watu wanastress za mapenzi wamechoka... Au ni baadhi tu ya watu wameamua kujifyatua akili !!?

NB. Pia, tukumbuke takwimu za maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa sasa zimezidi

SHARE MAONI YAKO
Jana nilikuwa naenda kumgonga mke wa mtu lakini nashukuru mazingira yaliniokoa , Chanzo Ni stress alizopewa na jamaa yake. Nashukuru atukumeet faragha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom