Sikufanya mtihani wa biology o level!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikufanya mtihani wa biology o level!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The Dude, Mar 31, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ilinitokea o level Azania miakaa kadhaa ilopita.nilikuwa darasa la biashara ila km ujuavyo masomo ya arts ikiwepo biology ilikua lazma..binafsi nikaongeza na ziada ya fine arts na computer studies jumla 11.
  Kiukweli biology sikuwa freshi na wala sikwenda kwa mbuga mchikichini coz nliona haina future nami career-wise.
  Tatzo lilikua kuwa kujisajili mtihani wa taifa inatakiwa masomo yasipungue saba yakiwemo compulsory arts kama biology..mimi nlitaka kutojisajili kudo biology coz kiukweli ningepata F ya sifuri kabisa.
  Ndipo nikampiga chenga academic master wakati wa kusaini,bila ye kujua nikasaini kufanya masomo yote kasoro biology.ningeweza kusaini afu nsifanye lakn kwene cheti ingeandikwa biology halafu alama ya x kwene grade-which i didnt want.
  Wakati wa kusubiri matokeo ya form 4 i was worried nkidhani yangu yatafutwa kwa kutokufanya core subject-biology.
  Lahaula,nilifaulu div one kali sana.
  Tatizo biology haijaandikwa wala kuappear kwene cheti changu hata kidogo.
  Sasa hii inaniletea usumbufu mpk leo kila mahali nikienda wakigundua haipo wanajiuliza maswali mengi.
  Wengine wanadhani nimefoji cheti,wengine wananambia ni automatic disqualification coz huwez kuwa na mtu asiyejua biology.Na wengne wanadai it is not possible in Tz mtu kukosa biology katika cheti chake cha o level.
  Sijui nifanyeje...
  Wako mtiifu,
  Mtundu kisu
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ok,tunashukuru tumejua ulipata dv 1 yenye pts kali.over
   
 3. K

  Kin New Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nilivyokuwa nasoma o level mwalimu hakuwai kuniwekea x kama alama ktk somo hata kama sikufanya.maana yake alama zinazotumika ktk masomo ndizo ulizowekewa na kama haukufanya basi ndio maana hawakuweka ktk cheti chako.hao wanaotaka kujua unajua biology basi wafuatilie kule shuleni.
   
 4. s

  sugi JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Sio kweli kwamba kila cheti cha o level lazima kiwe na biology,mi mwenyewe sina hiyo biology,and i feel comfortable,wala hakuna aliyewahi kuniuliza maswali,kuna factor nyingi zinazomfanya m2 asisome bios,kwa mfano shule za ufundi miaka ya nyuma,biology ilikuwa haisomwi
   
 5. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Mimi nilisoma science lakini mwisho sikufanya biology. Sijawahi kuulizwa kwa nini popote ninapoenda kwa nini sikufanyabiology. Unatakiwa kujua ukiwa na elimu ya juu sana,cheti cha form 4 hakichukuliwi uzito sana
   
 6. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo ww ktk yote nloandika umeona hilo tuu?
   
Loading...