Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,105
- 9,115
Thespam katika ubora wako!!
Ndefu sana, mimi natafuta mume jamani.
jfTupo sehemu moja wapi??
Sasa JF ndiyo inatosha wewe kunijua??
Bora, na Asante sana kwa zawadi hii adhimu [emoji4]Basi umeshakuwa mume wangu
Hahahahahhhhh, nimecheka sana kwa kweliMimi ndo mwenyekiti wao single mothers.
Bora, na Asante sana kwa zawadi hii adhimu [emoji4]
na ww mwanaume wa Dar kaa kimya bana kwan lazima uongee!?Watu wa mikoani wanapenda sana kujiita mabaharia..hua wanajiona wajanja sana kumbe hawaelewi tafsiri yake ni ipi kujiita baharia wakati haujasomea ubaharia..
safi sana napenda taarifa kama hiziKuna pisi 1 matata nilikutana nayo jf mpaka sikuamini mtoto mzuri vile halafu mabaharia walikuwa wanamzingua kwenye comment!
Kiduku lilo ana I'ds kibaoooooooooooo
Thespam katika ubora wako!!
Hi beby say Hi..napenda tabasamu pale unaponipa hi![emoji23] [emoji23]
Njoo basi tuzungumze kidogo huku nyumbani kumejaa maji wewe umekaa tu kwa jirani unatazama tamthilia.. . [emoji4]Sawa mume.
Njoo basi tuzungumze kidogo huku nyumbani kumejaa maji wewe umekaa tu kwa jirani unatazama tamthilia.. . [emoji4]