Sikuamini,,kumbe bado wapo!!


Nahisi una bahati mbaya, au unaonyesha wallet kabla ya kuongea. waliowengi wanacheza na akili ya mtu, wakikuuta kimwaga wanashindilia! LOL
 

Tumekuelewa.
 
Wa aina hii wapo ila kwa kiwango kidogo sana....hata wanaocomment hapa watajifanya nao wana tabia kama huyu mdada ila kiuhalisia pesa ndio wameweka mbele...
 
Wa aina hii wapo ila kwa kiwango kidogo sana....hata wanaocomment hapa watajifanya nao wana tabia kama huyu mdada ila kiuhalisia pesa ndio wameweka mbele...

Vin Diesel mkuu upo? Last time we meet ulikuja kuchkua stuffs kwa externo yako kwangu pale town!
 
Last edited by a moderator:
si ndio hapo luv!
yani heshima huwa inakuwa earned
wasifikir watu kujishusha tu na kuwa wanawake na bra zao sio ishu ya masikhara!
lazziiiiima uniconvice!laziiiiima!
PIIIGA KAMPENI! HASA!

Duh! Hii kali, naona umeamua kusimamia hapo tu. Kuna dada nafanya naye kazi aliwahi niambia,"napenda the way una misimamo kwenye maamuzi yako na mambo yako, mpaka natamani kuwa mkeo". I was,waoh! Kumbe hawa watu wanapenda mtu asiyeyumbishwa!
 
Best yangu umeniacha hoi aisee!!

Naomba kumnukuu jamaa yangu ''Mwanamke akikuzidi hela, mzidi elimu, akikuzidi elimu, mzidi hela, na akikuzidi vyote mzidi kitandani, heshima itakuwepo tu'' LoL!!
saasa je best!
tatizo watu wanataka wakae tu wawachie hao wanawake pointi tatu kila eneo!
ahahhahaha taaafuta eneo lake ukabie hapo!
mupe sababu ya kukuamkia shikamoo hata kivuli tu!
unakaa kizembe zembe hapa af unataka tukuone mwanaume!
 
Very true.

Bado nakustudy kwa msaada waBAK nipate pa kukukabia best yangu..


saasa je best!
tatizo watu wanataka wakae tu wawachie hao wanawake pointi tatu kila eneo!
ahahhahaha taaafuta eneo lake ukabie hapo!
mupe sababu ya kukuamkia shikamoo hata kivuli tu!
unakaa kizembe zembe hapa af unataka tukuone mwanaume!
 
Nakuona best!

Mimi nilikuwa zuzu ndio nashtuka sasa so nakula mafuta ya samaki na vichwa vya dagaa nimeambiwa zinarudisha Mbongo.
ongeza na ndizi mtani!
utakuwa booonge la genius!
hata kama kwa darasani zitakuwa hazina use tena unazitumia kujua eneo la kukabia!
na ukilijua UKAAAABE KWELI!chezeya kuweka heshima kwenye barabara yake!
 
Asante sani.

Nitajituma kwa kweli, nikishindwa nilisahaopt mazoezi zamani, we ntakuachia upstairs japo najua mwanaume ni mwanaume tu when it comes to ghorofani, though to few doesnt apply.
ongeza na ndizi mtani!
utakuwa booonge la genius!
hata kama kwa darasani zitakuwa hazina use tena unazitumia kujua eneo la kukabia!
na ukilijua UKAAAABE KWELI!chezeya kuweka heshima kwenye barabara yake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…