wazuri tupo ila tumekaa kimya. tukisema tutaonekana tunajidai
^^
Ni jambo ambalo tayari nilishaliondolea tumaini,,kwamba kuna wanawake wasomi ambao hawana harakati ninazoziona MMU
..
Nilimtembelea rafiki angu ambae ni mhitimu wa kidato cha sita.Ana biashara ndogo ndogo tu,,lakini ni kukuta ameoa mwanamke anaepigiwa mfano na kila mtu,,ambae ni
.Mhitimu Chuo Kikuu,
.Hatangulizi pesa anaishi kadri ya uwezo,
.Mahitaji yake sawa na watu wengine,
.Anajua kupata na kukosa,
.Hamtoi kasoro mumewe,
Nilimdadisi kujua kama amepitia matatizo ktk maisha yake,akasema hapana Nikamuuliza alifikiria nini kumkubali ambae kwa kawaida binti mwenye elimu yake,umbo safi,anatongozwa kila kona,,asingekubali hilo.Jibu lake halikuwa refu,alisema "napenda kujenga maisha"
..
Imani yangu ilikuwa imepotea kuhusu mitazamo ya wanawake humu ndani,lakini kumbe nilikosea,wapo ambao wanajua maisha na wanatambua nini kinatakiwa ktk ndoa.
...
WALE WANAOTAFUTA WACHUMBA,wasikate tamaa Wanawake wapo ambao kweli wanahitaji ndoa bila vigezo na masharti ya kuvunja moyo.
^^
snowhite, l hope watakuelewa vyema kwamba being a man he should haihitaji kuprove kwa ngumi au ubishi wenye lengo la kuprove kwamba yeye ni mwanaume.
Kuna rafiki yangu ilibidi aiache ndoa aliyoipenda na kuifanyia kazi kwa 6 years kwa kile mwanaume alichokuwa anafanya kuwaprovia wengine kuwa he is a man of the house, alikuwa anampiga mkewe hadharani kwa sababu zisizokuwa na mshiko kabisa.
oh!! hell no.snowhite, l hope watakuelewa vyema kwamba being a man he should haihitaji kuprove kwa ngumi au ubishi wenye lengo la kuprove kwamba yeye ni mwanaume.
Kuna rafiki yangu ilibidi aiache ndoa aliyoipenda na kuifanyia kazi kwa 6 years kwa kile mwanaume alichokuwa anafanya kuwaprovia wengine kuwa he is a man of the house, alikuwa anampiga mkewe hadharani kwa sababu zisizokuwa na mshiko kabisa.
Unalipia ushuru wa matangazo lakini?
wazuri tupo ila tumekaa kimya. tukisema tutaonekana tunajidai
wewe tu na namna utakavotengeneza aina ya mahusiano yako na mkeo!
harakati za MMU wakati mwingine mnaweza mkazilaumu bure tu!lakini kama umekaa kibwege ----- na na hela zangu akuchosha tuuu!
ila kama unajua kusimamia misimamo yako ya mwanaume hasa!ile mwanaume hasa kama alivokuwa babangu aaah mbona heshima mbele tu!nakupigia goti kila ukiingia ndani,akupikia,nakuogeshea watoto,nakuezi ile kike hasa!
sasa we unailetea habari za kulia lia na wehu wa kidot com dot com naachaje kukutupia macredentials yangu na kukukumbusha how much dough i make kila uchao!
mmezidi a nyie kulemaa lemaa!
KOMAENI !WACHENI MPANGO WA KULIA LIA KILA WAKATI!
PROVE THAT U R A MAN ENGOUGH KUNIOA hata kama unafunga viatu!
NTASUMBUA WATU OFISINI NIKIRUDI NYUMBANI HESHIMA!
Ulianzaje kumuuliza mke wa mwenzio maswali ya kizushi kama hayo? Siyo wanawake wote wana tabia za kishenzi za kupendwa maisha ya juu au kuonyesha vyeo, usomi kwa wenza wao.