Sikuamini jamani!!

hiyo A***UM HOTEL naamini kabsaa ni ATRIUM HOTEL MITAA YA SINZA KONA BAR....HIVI KUSHIKWA KIUNO NA KUINGIA HOTEL NA MWANAUME MWENZIO NI KOSA?...MIE NADHANI UNGEKUWA UMEMWONA KAINAMISHWA ANAELEKEZWA KIBLA NA DUME LENZIE HAPO UNGEKUWA NA HOJA YA MSINGI KABSAAA...IN PRINCIPLE FUMANIZI NI PALE UNAPOKUTA AU KUONA MTU KAINGIZA DHA@#KARI NDANI YA TUNDU LA MWENZIE...NOTHING MORE
 
hiyo sasa ni kuingilia uhuru wa mtu binafsi, coz kile kitundu anakitumia peke yake (not a family property); ingekuwa mikono, mdomo, au hata rungu la mama hapo sawa. Hicho kitolea kinyesi ni cha kwake peke yake! Lol
uhuru gani? Wa hivo bhanaa loh. Kweli nimeamini duniani kuna wazazi na wazazi
 
kama wwe ni mwanaume nakushauri achana na tabia hizi za kike kila unaloliona unataka kulisema. mangapi yanatokea na yanakuhusu hujaambiwa?? siku ukiambiwa na wwe baba yako kaliwa T*GO utafanyaje???
unaeza mwambia rafiki yako ukakuta stori anazijua mwanzo mwisho na katulia tu kama hajui vile utaficha wapi uso wako..

Kama wewe ni mwanamke nakushauri sometimes muwe mnajifunza kuwa na busara katika maamuzi ishu kama hizi hata hazitakiwi kuendeshwa na hisia zaidi cha msingi tumieni busara..
UNACHOULIZA HAPA SIO KUPATA USHAURI UNATAKA KUJUSTIFY UPUMBAVU WAKO TU kama kweli ni sahihi...

KAA KIMYA KABISA TENA USIZUNGUMZE CHOCHOTEE

Toa local zako hapa,upumbavu unaujua wewe au unapiga misele ndani ya pipa la gongo?
Kama huna jipya,
Tuma salamu Kwenu Sitimbi,wambie unauza sura jijini.
 
Sidhani kama kuna haja ya kumwambia maana baba yake ni mtu mzima na anajua anachokifanya. Kila mtu na maisha yake. baba ana maisha yake na mtoto naye ana maisha yake na kila mtu atakufa na kujibu kivyake mbele za Mungu. Huyo shosti wako hatokufa na baba yake wala baba hatokufa na mwanae. Ni bora ukae kimya kuliko kumpa stress zisizokuwa na msingi na kumwaribia maisha mtoto wa watu maana watu wengine mioyo yao ni midogo kama gololi, wakipata katatizo kidogo tu presha juu.
 
I've read this post and looking through trying to read the mind ya mtoa mada and style yake ya kujibu hoja especially hoja pinzani. Trust me, trust my instincts 'madame b' ni kwamba wewe ni 'me' na wala siyo 'ke' na hapa hii stori ni ya kutunga na hamna ukweli wowote

Probably pia unaweza ukawa una elements za ushoga, may be am not sure. And I really don't care if you are gay or not......

Samahani kwa kuwa nje ya mada na mods msiwe wakali. Ruhusa kuandika 'chochote' ujisikiacho against this post but I won't reply back
 
I've read this post and looking through trying to read the mind ya mtoa mada and style yake ya kujibu hoja especially hoja pinzani. Trust me, trust my instincts 'madame b' ni kwamba wewe ni 'me' na wala siyo 'ke' na hapa hii stori ni ya kutunga na hamna ukweli wowote

Probably pia unaweza ukawa una elements za ushoga, may be am not sure. And I really don't care if you are gay or not......

Samahani kwa kuwa nje ya mada na mods msiwe wakali. Ruhusa kuandika 'chochote' ujisikiacho against this post but I won't reply back

Okay,Lasikoki.
Me ni KE' mtupu,tangu Utosi tu Unyayo,labda una shida zako za ki-fikra.
Kwani Gay na Lesbo hawana haki? Changia mada,kama huna fungua za mods wengne.
Kuhusu kwamba stori nimeitunga,yawezekama wewe aidha,hujawahi kwenda HOTEL au GESTI.

CONCLD: Niachie cont zako ili nikipata jambo nikutaarifu uje ili uamini kama matukio haya yapo.


UNA LA NYONGEZA?
 
tabia mbovu inatakiwa ikomeshwe kama mm ni ww nina mtuma mtu anayemzidi umri ambaye hamjui akamshauri aache
 
wanaingia getini au chumbani, kushikwa kiuno haina nguvu sana kwenye hoja yako, eleza vizuri
 
Duh kweli hizi siku za mwisho.Ngoja niendelee kutubu dhambi zangu maana saa zile bwana harusi kuhudhulia karamu zinakaribia.
 
Back
Top Bottom