Hawajui waache waendelee kuchonga tuu midomo hawa utafiti na bintie miss chagga hawajui mjini kinachocheka ni wallet sio mdomo
achana nao hao
vizabizabina walimsema sista p itakuwa wewe
achana nao
ngoja niwatafutie watu 8 wenye miraba!! hahaaa!! hii kesi..:A S 13:
imani yake inamruhusu wanne ila yeye ana zaidi ya nane,
Asante sana Lady niece nishawaona hawana maana kabisa hawa
babake, waambie kuwa mjini midomo haina kazi... kazi ipo kwenye wallet!
cc.. utafiti na bintiye, miss chagga!
mkicheza tu....
Wala haina haja mkuu Excel waonyeshe tuu wallet wataacha kuchonga midomo wakatafute pesa mjini hapa
miss chagga kwani kuna nini nishahama huku mtaani nimeenda mtaa ule anaoukataa baba yako utafiti kule niko na Excel
miss chagga kwani kuna nini nishahama huku mtaani nimeenda mtaa ule anaoukataa baba yako utafiti kule niko na Excel
baba mkwe utafiti kwani una wake wangapi eti baba?
Wakati wa Zamani angefanikiwa kwani dada zetu walikuwa na huruma lakini sasa wapi bila Pochi atabaki hivyhivyo akibembeleza!
cc: utafitiSwali zuri akikujibu usisahau kuniita lol.....za mwizi 40
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kama anao uwezo wa kuwatunza, kuwalisha, na kuwajenga
mahali wewe unashadadia awaache wote