mbona wanakusemasema humu hawajuii kuwa unayemhusika wako hapa
Wananiona mimi kama babu yao
Kumbe Mr Rocky akiwa anaomba mzigo anatia huruma hivi...
mbona wanakusemasema humu hawajuii kuwa unayemhusika wako hapa
baba mkwe utafiti kwani una wake wangapi eti baba?
Juzi kati nilimfuma akimnyatia Heaven on earth, huyo anayemtetea hamfahamu vizuri Mr. Rocky au nimwage mchele zaidi?

mkuu unajua niko kwenye probation? ohoo..!
yani nikitema cheche tu... kuti linadondoka!!