Siku za gulio Dar es Salaam

Kibenje KK

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2016
Posts
283
Reaction score
438
Habari. Kwenye harakati za utafutaji hasa biashara tunahitaji watu.

Kati ya maeneo ambayo mtu unaweza kufanya biashara kwa wepesi ni kwenye magulio.

Naomba kujua siku za gulio maeneo tofauti tofauti Dar es Salaam. Kutaja utajua umesaidia Wajasiriamali wengi.
 
KUNDUCHI MTONGANI SIKU YA IJUMAA. TEGETA MKANADA JUMAAMOSI, BOKO CHAMA JUMANNE, BUNJU B ALHAMISI. GOBA JUMATANO AU JUMAPILI. HAPO NIMESAHAU KDG. BAGAMOYO JUMATATU
Asante sana sana
 
Si unajiunga kwenye kikundi au huwa hakuna taratibu zozote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…