Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
"Ni heri ya Kuishi Miaka michache duniani sauti yako ikabaki, kuliko kuishi Miaka 100 halafu ukafa kama Mnyama". Wapigania haki wengi duniani waliuawa kwa hila na wafedhuli wakati bado wakihitajika kutekeleza ndoto yao. Baadhi yao ni kama akina Martin Luther, Steve Biko na JFK.