Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Hahaha.Mim nnachojua huu ni mchepuko wa babu sasa kama na wewe umefichwa bas acha tuseme inshallah cha msing uhai
Shukrani mzee...mnaendelea vipi na dada yangu lakini?
Hahaha.Mim nnachojua huu ni mchepuko wa babu sasa kama na wewe umefichwa bas acha tuseme inshallah cha msing uhai
Ni vigumu sana we kuwa kwenye hilo kundiJe ambao tuko single na huduma za kimwili hatupati siku yetu ni lini?
Wapi nimesema ninataka huduma? Naulizia tu siku yetu lini?Mje niwape huduma za kimwili.
Kwa hiyo umetafuta majibu yoooooooteee yaliyopo ukaona unijie na hilo?Wapi nimesema ninataka huduma? Naulizia tu siku yetu lini?
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Shida una dada wengi yupi sasaHahaha.
Shukrani mzee...mnaendelea vipi na dada yangu lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo umetafuta majibu yoooooooteee yaliyopo ukaona unijie na hilo?
Kai kai.
Shida una dada wengi yupi sasa
Huyu hapa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu niwache kwanza.
Waambie natoa huduma basi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu niwache kwanza.
Akina nani?Waambie natoa huduma basi.
Nimefanya nini?Huyu hapa.
Ahaa hili likonki masta lilishaniachaHuyu hapa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,usijali hata kama ni wewe mwenyewe mkuu
Yule ni KaruecheYule Karucee wa Chris Brown ndio wewe?
Wote.Akina nani?