siku yangu ya harusi

Alievuta bangi Kati yetu naona ni wewe maana licha ya kujua ni jukwaa la jokes bado ume niriaktia namna hii, Mimi nimejibu jokes kwa jokes but wewe ndio umeingia mzima mzima bila kufikiria
Hata hujui kama umeingia Jukwaa la Jokes. Sijui nani kavuta bhangi kati yenu?...
 
Alievuta bangi Kati yetu naona ni wewe maana licha ya kujua ni jukwaa la jokes bado ume niriaktia namna hii, Mimi nimejibu jokes kwa jokes but wewe ndio umeingia mzima mzima bila kufikiria
😁 😁 😁 Kajifunze kwanza kuandika Kiswahili vizuri, au hii pia ni madhara ya bhangi? Soma posti #12 hapo juu ya baba swalehe kisha usome posti yako #14, utapata jibu ni nani aliyepaniki au kuvuta bhangi... 😁😁😁
...
 
Mbona unajitahidi sana kutafuta huruma kutoka kwa wanaume wenzio ndugu,, hauwezi Ku defend point yako bila ya Ku refer alichokisema Fulani??,, na suala la kujua ama kutokujua kuandika kiswahili nadhani ni juu yangu maana hata wewe unayejiona unakijua kiswahili sijawahi sikia umepata tuzo ya uandishi bora humu jukwaani zaidi ya ujuaji maandazi tu ulionao
Kajifunze kwanza kuandika Kiswahili vizuri, au hii pia ni madhara ya bhangi? Soma posti #12 hapo juu ya baba swalehe kisha usome posti yako #14, utapata jibu ni nani aliyepaniki au kuvuta bhangi...
...
 
Mbona unajitahidi sana kutafuta huruma kutoka kwa wanaume wenzio ndugu,, hauwezi Ku defend point yako bila ya Ku refer alichokisema Fulani??,, na suala la kujua ama kutokujua kuandika kiswahili nadhani ni juu yangu maana hata wewe unayejiona unakijua kiswahili sijawahi sikia umepata tuzo ya uandishi bora humu jukwaani zaidi ya ujuaji maandazi tu ulionao
Kaazi kweli kweli!...
 
Back
Top Bottom