Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
@manengelo unaanza kuniangusha mapema hivi! Sio siku ya vitenge hiyo jaman ...don't let me down again
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahhahahahhaha! Nimecheka sana aiseee, kwa kweli itabidi JF watafute namna ya ku-verify members wake sasa.ππ Relief niache basππ..unajua unaweza tukanana na mtu kumbe age 1 na mwanao..hii jf bwana!
@cute b una maneno mpaka nabaki nacheka tu hapaTenge?? Utamwaibisha mwenzako bora ubaki ufuatilie matangazo ya moja kwa moja[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahahhahhahahahhaha! Nimecheka sana aiseee, kwa kweli itabidi JF watafute namna ya ku-verify members wake sasa.
Hapo sawa ![emoji23][emoji23][emoji23] basi sivai tenge....nitajua nashona kitambaa gan[emoji23][emoji23]
Hahahahhahahahha! That will be a special day lakini! Ila baby wako must be genius, anafanya real estates?? Usimuache huyo aiseeeeAccount ya bebi kwanza haina hata kumi.
Hela zikiingia anazielekeza kwenye real estate.
Sina haja ya kumuuliza jibu ni Hatutaenda Mimi na yeye. Nina uhakika hata mchepuko hautapelekwa.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Tenge?? Utamwaibisha mwenzako bora ubaki ufuatilie matangazo ya moja kwa moja[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahahahhahahah!! Kuna mtu anataka akazuiwe getini[emoji23][emoji23][emoji23]shauri yake
Poleeeeeeeeeee hahahahhahahahahhahahaha nimecheka had kukaukiwa
Aiseeeee kuna dogo kule anakuita, hebu nenda umsikilize jamani mbona mnawafanyia watu hivi??
Mwaka jana sikuona mrejesho wa watu kama walienda maana wadada wa kibongo wanavyopenda sifa tungeona tu insta,wakilala ramada tu watapiga picha wamevaa zile robe zenye nembo ya hotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna matenge mazuri lakini ujue mremboTenge?? Utamwaibisha mwenzako bora ubaki ufuatilie matangazo ya moja kwa moja[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]no commentHahahahhahahahha! That will be a special day lakini! Ila baby wako must be genius, anafanya real estates?? Usimuache huyo aiseeee
Ngoja nimsikilize baby kwanza, nakujibu sasa hiviIna maana na wewe huendi?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unafukuzwa sijui utarudije[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]my ribs[emoji23][emoji23][emoji23]...dah...
Naanza kupata shaka na manengelo ataniabisha sijui siku hiyo! Msaidie kwenye kuchoose best clothes for this particular occasionHahahahhahahah!! Kuna mtu anataka akazuiwe getini[emoji23][emoji23][emoji23]shauri yake
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]add me to the list plz[emoji23][emoji23]hatupendeki...kuna siku uliwaj sema unampenda mwanamke ila km unahis hapendeki[emoji23][emoji23]ndo kina sie[emoji23][emoji23]