Siku ya wanawake wasio na bikira dunian | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya wanawake wasio na bikira dunian

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jan 8, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Leo ni siku ya wanawake wasio na bikira duniani;kauli mbiu ni
  "JUTIA BIKIRA YAKO" uliyoipoteza muheshimu sana alieitoa na umkumbuke kama mlishaachana'kwanza amekufanya mkubwa na amekusaidia kuhimili nyingine za saizi tofauti bila maumivu na kama maumivu ni siri yako
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  makubwa haya!! kila kitu kina siku yake malyumu siku hizi
   
 3. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makubwa haya rafiki.
  Hii imeanzishwa na watu wasio na jambo muhimu la kufanya nadhani.
   
 4. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  aaah.....sio mahala pake ungepeleka kwenye jukwaa letu la jokes! But i like it.....akina dada wengi humu jamvini naimani inawahusu
   
 5. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani HII ni breaking news?????????????????????????
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  siku ya wanaume ni lini?
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  here u come!!!!!!!!! waiweke na yao!!!!!!!!!! kweli mwaka umeanza vibaya wanawake hili wanawake lile duh!!!
   
 8. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iko kazi.
  waanzishe siku ya watu wenye vitambi.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  fafanua kidogo
  wanaume wako aina mbili;siku yao ya kutoa bikira ama wanaotolewa b
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ninavyoelewa mwanamke ile siku ya mwanzo anayo-do ndio inasemekana amevunjwa bikira, je na yule mwanaume anaye-do mara ya kwanza inakuwa amefanywaje?
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  labda kabla ya kuendelea;kunawanaume wana do mara moja
  na wengine mara mbili sasa infacts wote wanavunjwa kaka
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Haha hahahaha hahahahahaa
  dah.
  Duniani kuna mambo kwa kweli
   
Loading...